Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Tuko bien
Mm nachkua makiniikia nkjifungie [emoji23] [emoji23]

Ova
20181008_180549.jpg
 
[emoji117]Laiti kama watumiaji wa pombe wangejua madhara yake, wasinge kunywa kabisa hata mara moja. Lakini kwa kuwa hawajui ndio maana wana kunywa, na huenda labda wanajua madhara yake ila wanapuuzia.
[emoji117]Madhara ya pombe kwa muda mrefu ni mengi sana.

ANGALIZO :

[emoji117] Tafadhali naombeni msinifikirie vibaya. Cuz siwakashifu wala siwadharau na wala siwakejeli na wala siwasemi vibaya watumiaji wa pombe. Ila ni ushauri wa bure tu. Ushauri huu ni muhimu kwa faida yao. Ushauri huu utakusaidia kulinda afya yako. Kama wewe mtumiaji wa pombe utaona ushauri huu unakufaa fanyia kazi na uzingatie lakini kama utaona haukufai basi achana nao. Ni chaguo lako. Lakini natoa hii elimu bure kwako wewe mtumiaji wa pombe ili afya yako iwe salama.

[emoji117]Kwa kifupi ni kwamba:[emoji652][emoji652][emoji652][emoji652][emoji652][emoji652][emoji652]

[emoji654](1) Licha pombe kuwa na madhara kiafya lakini pia mtu anayekunywa pombe anadidimiza uchumi. Japo kuwa Serikali inapata kodi kupitia bidhaa hiyo na uzalishaji wa pombe unaendelea viwandani. Lakini madhara anapata mtumiaji. Ambapo ile pesa anayotumia kununua pombe kama angewekeza pesa yake kwenye mradi au biashara yoyote angepata faida baadae ambayo ni endelevu na angenufaika na biashara hiyo yeye pamoja na familia yake na kuchangia pato la taifa.

[emoji654](2) Kitu kingine mtu anayekunywa pombe husababisha hasara kwa watu wake wa karibu au ndugu zake. Hii ina maana kwamba ikifikia wakati amepata maradhi yatokanayo na pombe ndugu zake ndio watakaoshughulikia matibabu yake kulipia pesa ya matibabu hospitali. Kwa hiyo ina maanisha kwamba mtumiaji wa pombe anawasababishia hasara ndugu zake kumlipia pesa ya matibabu hospitali ambapo ile pesa ndugu zake wangefanyia mambo mengine ya kuleta maendeleo zaidi. Hii ina maanisha kwamba anawarudisha nyuma kiuchumi.

[emoji654](3) Mtumiaji wa pombe wa muda mrefu anapokuwa amelazwa hospitali hajiwezi, hapo tena anakuwa anawategemea ndugu zake badala ya yeye kutegemewa na ndugu. Hali hii inasababisha kupoteza pesa kwa familia na kitu kingine kuto-kuchangia mapato kwa taifa. Kwa sababu kila Mwananchi ana wajibu wa kulipa kodi. Huo ndio uzalendo.

[emoji654]Sasa hebu fikiria hasara zote hizo. [emoji117]Je, kwa mfano watumiaji wa pombe wooooote wakilazwa hospitali,

[emoji654] Kwanza fikiria Je, ni watu wangapi wanaotumia pombe?? Je, ni familia ngapi (wakina mama na watoto) ambazo zitaathirika kwa kukosa mahitaji ya kila siku kwa sababu tu kiongozi wa NYUMBA ambaye ni baba amelazwa hospitali kwa sababu ya madhara ya kunywa pombe kupita kiasi. Na Je, ikiwa vijana wengi ndio watumiaji na ikitokea wameathirika na ulevi kwa kunywa pombe kupita kasi... Je, hamuoni kama wataathirika wengi?? Je, hamuoni kwamba vijana ndio nguvu kazi ya taifa.

[emoji117]Watumiaji wa pombe jitahidini kutafakari hayo, ili muendelee kuchangia pato la taifa vyema na muendelee kuhudumia familia zenu vyema hali ya kuwa mnaendelea kufanya shughuli zenu za kila siku na afya njema.

[emoji117]Hayo ni madhara yanayohusu uchumi tu, sijui kama mmefuatilia na madhara ya kiafya.
We papasi hukusoma kichwa cha habari au?.
Fuata mambo yako yetu tuchie, wewe unamiliki nini kutuzidi ilihali hatujuani?.
Jifunze kuheshimu burudani za watu.
 
Back
Top Bottom