Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Jifunze kumheshimu mtu hata kama humjui. Heshima ni kitu cha bure hakiuzwi dukani.

Papasi ni wewe mwenyewe. Nawe pia uone raha kuitwa papasi. Usipende kutukana watu ovyo ovyo, jifunze kuheshimu watu unaokutana nao, popote pale unapokwenda katika maisha yako, yoyote unayekutana naye awe mkubwa au mdogo jifunze kuwaheshimu tu. Usimdharau usiyemjua.

Na siku zote sio unakuwa mwili na umri tu halafu akili inabaki ya kitoto. Unatakiwa mwili ukue umri na akili pia.

KUMBUKA MANENO HAYA NA USIRUDIE TENA KUTUKANA WATU OVYO:

Usipende kutukana watu ovyo. Usipende kuwadharau watu ovyo popote uendapo katika maisha yako. Waheshimu watu mkubwa na mdogo popote uendapo katika maisha yako.

Sasa nakwambia kitu kimoja: Mimi huwa situkanwi ovyo. Ukirudia tena nitatumia vyombo vya dola kwa maana Sheria za Serikali zipo. Watu wengine huwa hawatukanwi ovyo. Ni heshima amani na upendo. Sambaza upendo, kuwa Mzalendo.

Kama hukupenda comment yangu unge-endelea na mambo mengine tu ilikuwa hakuna haja ya kunitukana hivyo. Lakini sio kuniita papasi, umenivunjia heshima. Jifunze kuwaheshimu watu tofauti unaokutana nao popote pale uendapo katika maisha yako iwe mtandaoni au mitaani, waheshimu watu wote. Huwezi kujua Mungu amepanga nini kwangu mimi na wewe kukutana hapa mtandaoni na ku-chat kama hivi. Huenda labda kuna jambo jema Mungu amepanga. Kwa hiyo usinidharau wala usinivunjie heshima.
We papasi hukusoma kichwa cha habari au?.
Fuata mambo yako yetu tuchie, wewe unamiliki nini kutuzidi ilihali hatujuani?.
Jifunze kuheshimu burudani za watu.

Sent from my N9100 using JamiiForums mobile app
 
[emoji117]Laiti kama watumiaji wa pombe wangejua madhara yake, wasinge kunywa kabisa hata mara moja. Lakini kwa kuwa hawajui ndio maana wana kunywa, na huenda labda wanajua madhara yake ila wanapuuzia.
[emoji117]Madhara ya pombe kwa muda mrefu ni mengi sana.

ANGALIZO :

[emoji117] Tafadhali naombeni msinifikirie vibaya. Cuz siwakashifu wala siwadharau na wala siwakejeli na wala siwasemi vibaya watumiaji wa pombe. Ila ni ushauri wa bure tu. Ushauri huu ni muhimu kwa faida yao. Ushauri huu utakusaidia kulinda afya yako. Kama wewe mtumiaji wa pombe utaona ushauri huu unakufaa fanyia kazi na uzingatie lakini kama utaona haukufai basi achana nao. Ni chaguo lako. Lakini natoa hii elimu bure kwako wewe mtumiaji wa pombe ili afya yako iwe salama.

[emoji117]Kwa kifupi ni kwamba:[emoji652][emoji652][emoji652][emoji652][emoji652][emoji652][emoji652]

[emoji654](1) Licha pombe kuwa na madhara kiafya lakini pia mtu anayekunywa pombe anadidimiza uchumi. Japo kuwa Serikali inapata kodi kupitia bidhaa hiyo na uzalishaji wa pombe unaendelea viwandani. Lakini madhara anapata mtumiaji. Ambapo ile pesa anayotumia kununua pombe kama angewekeza pesa yake kwenye mradi au biashara yoyote angepata faida baadae ambayo ni endelevu na angenufaika na biashara hiyo yeye pamoja na familia yake na kuchangia pato la taifa.

[emoji654](2) Kitu kingine mtu anayekunywa pombe husababisha hasara kwa watu wake wa karibu au ndugu zake. Hii ina maana kwamba ikifikia wakati amepata maradhi yatokanayo na pombe ndugu zake ndio watakaoshughulikia matibabu yake kulipia pesa ya matibabu hospitali. Kwa hiyo ina maanisha kwamba mtumiaji wa pombe anawasababishia hasara ndugu zake kumlipia pesa ya matibabu hospitali ambapo ile pesa ndugu zake wangefanyia mambo mengine ya kuleta maendeleo zaidi. Hii ina maanisha kwamba anawarudisha nyuma kiuchumi.

[emoji654](3) Mtumiaji wa pombe wa muda mrefu anapokuwa amelazwa hospitali hajiwezi, hapo tena anakuwa anawategemea ndugu zake badala ya yeye kutegemewa na ndugu. Hali hii inasababisha kupoteza pesa kwa familia na kitu kingine kuto-kuchangia mapato kwa taifa. Kwa sababu kila Mwananchi ana wajibu wa kulipa kodi. Huo ndio uzalendo.

[emoji654]Sasa hebu fikiria hasara zote hizo. [emoji117]Je, kwa mfano watumiaji wa pombe wooooote wakilazwa hospitali,

[emoji654] Kwanza fikiria Je, ni watu wangapi wanaotumia pombe?? Je, ni familia ngapi (wakina mama na watoto) ambazo zitaathirika kwa kukosa mahitaji ya kila siku kwa sababu tu kiongozi wa NYUMBA ambaye ni baba amelazwa hospitali kwa sababu ya madhara ya kunywa pombe kupita kiasi. Na Je, ikiwa vijana wengi ndio watumiaji na ikitokea wameathirika na ulevi kwa kunywa pombe kupita kasi... Je, hamuoni kama wataathirika wengi?? Je, hamuoni kwamba vijana ndio nguvu kazi ya taifa.

[emoji117]Watumiaji wa pombe jitahidini kutafakari hayo, ili muendelee kuchangia pato la taifa vyema na muendelee kuhudumia familia zenu vyema hali ya kuwa mnaendelea kufanya shughuli zenu za kila siku na afya njema.

[emoji117]Hayo ni madhara yanayohusu uchumi tu, sijui kama mmefuatilia na madhara ya kiafya.
Aisee hamna ulichokiandika haha, zote ni nadharia tu zisizo na kichwa wala miguu!!
 
Jifunze kumheshimu mtu hata kama humjui. Heshima ni kitu cha bure hakiuzwi dukani.

Papasi ni wewe mwenyewe. Nawe pia uone raha kuitwa papasi. Usipende kutukana watu ovyo ovyo, jifunze kuheshimu watu unaokutana nao, popote pale unapokwenda katika maisha yako, yoyote unayekutana naye awe mkubwa au mdogo jifunze kuwaheshimu tu. Usimdharau usiyemjua.

Na siku zote sio unakuwa mwili na umri tu halafu akili inabaki ya kitoto. Unatakiwa mwili ukue umri na akili pia.

KUMBUKA MANENO HAYA NA USIRUDIE TENA KUTUKANA WATU OVYO:

Usipende kutukana watu ovyo. Usipende kuwadharau watu ovyo popote uendapo katika maisha yako. Waheshimu watu mkubwa na mdogo popote uendapo katika maisha yako.

Sasa nakwambia kitu kimoja: Mimi huwa situkanwi ovyo. Ukirudia tena nitatumia vyombo vya dola kwa maana Sheria za Serikali zipo. Watu wengine huwa hawatukanwi ovyo. Ni heshima amani na upendo. Sambaza upendo, kuwa Mzalendo.

Kama hukupenda comment yangu unge-endelea na mambo mengine tu ilikuwa hakuna haja ya kunitukana hivyo. Lakini sio kuniita papasi, umenivunjia heshima. Jifunze kuwaheshimu watu tofauti unaokutana nao popote pale uendapo katika maisha yako iwe mtandaoni au mitaani, waheshimu watu wote. Huwezi kujua Mungu amepanga nini kwangu mimi na wewe kukutana hapa mtandaoni na ku-chat kama hivi. Huenda labda kuna jambo jema Mungu amepanga. Kwa hiyo usinidharau wala usinivunjie heshima.

Sent from my N9100 using JamiiForums mobile app
Mkuuu tuachie jukwaa thread yetu basi kwa amani walevi hatupendagi ugomvi
 
Kwani huku uliitwa , ungeanza kujua heshima kwanza usingekuja huku na comment yako.Unajua kabisa watu huku wapo wanafurahia na wakaweka kichwa Cha uzi kinachohusu wanaohusika , nawe unakuja na mengine Wakati kuna nyuzi nyingi huko zinazohitaji ushauri kama wako haujatoa haya maoni yako.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Tatizo anaweza akaja kuwa muelewa kuliko sisi, nina wivu mtu akinizidi kiwango.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji15][emoji15][emoji1540][emoji1540][emoji1540][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umepiga hatua moja mbele wenzako wanaziona kwenye chupa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namalizia mdg mdg mzinga huu
Mwenyekiti

Ova
20181008_231739.jpg
 
Umepiga hatua moja mbele wenzako wanaziona kwenye chupa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimenda kwa jamaa yangu na kamzinga kangu mke wake kaniletea zengwe![emoji23] [emoji23]
Nimenyimwa glass ila sababu anazijua mwenyewe
Angejua kuwa siye wanywaji tulivyokuwa na mbinu....kilicbofata chupa ya maji plastic ndy natumia kama glass[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Ova
20181008_234926.jpg
 
View attachment 891221
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
 
Back
Top Bottom