Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nlizinguana naye wakati fulani akatuitia wale crown wenzake tukakimbia kijiwe tukahamia kwa apolito
Baada ya Muda akawaanatufatuta anaomba suluhu si unajuaa wanywaji tulivyokuwa na fitna [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakukudaka dhamana juu yangu
Ebwanaaa bill kidogo ileteshida hyu kaunta alitaka kutuchomekea ikabidi wanywaji tuingie kazini kumfanyie breakdwn
Maana si wengine tukiwa tungi ubongo unazidi kuchaji umakini inaongezeka

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…