Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Na pia serikali ipige marufuku kutaja neno pombe makanisani labda kama haitasemwa kwa mabaya[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Don't link n dive...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm nko pembeni
Mm na ulevi wangu wote siendeshi
Nkiwa tungi maana najua mzigo nao uingiza ndani si mchzo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vp ww jana ulifika salama
Ntakuelezeni Kisa round about ya askari monument alafu saa Sita mchana [emoji23] [emoji23]
Ilibidi nikalazwe central kwa mapumziko

Ova
 
Maana unaingizwa selo kama Mhalifu bali utakuta walikuweka ndani kwa kukuonea huruma[emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1545][emoji1545][emoji1545]salama kabisa ...haya huko central imekuwaje tena!?
 
Maana unaingizwa selo kama Mhalifu bali utakuta walikuweka ndani kwa kukuonea huruma[emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Picha linaanza walinipima kilevi kidogo alcohol tester ipasukeee ilivukaaa
Zaidi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sooo ilikuwa kama unatokea Azania front si tunazunguka kushoto mm nkazungka kuliaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nko maji balaaaa kushuka jamaa wanasema haiwezkani uliendeahaje mbn uko kama maiti......ila mwisho wa siku kobakabanda alinitoaaa kesho yake ila kdg wanipeleke mahakamani [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…