Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mambo yanaenda vzr kabisaMjumbe tulikumiss kwa muda kidogo, nadhani mengine yanaenda vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yanaenda vzr kabisaMjumbe tulikumiss kwa muda kidogo, nadhani mengine yanaenda vizuri
Tupo wengine tunakunywa popote [emoji23] [emoji23]Kwema waheshimiwa wajumbe
Vzr sana mjumbe
Ni kweli Mkuu, ila tutaungana muda si mrefu Nipo Rafiki ila kdg nimebanwa siku mbili hz
Okay leo unaanza mida ganiHahahaha Rafiki usijari nipo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na pia serikali ipige marufuku kutaja neno pombe makanisani labda kama haitasemwa kwa mabaya[emoji23][emoji23][emoji23]
Mm nko pembeniDon't link n dive...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muda si mrefu,niko ktk meeting kdg kikiisha tu ,naanza kikaoOkay leo unaanza mida gani
Maana unaingizwa selo kama Mhalifu bali utakuta walikuweka ndani kwa kukuonea huruma[emoji3]Mm nko pembeni
Mm na ulevi wangu wote siendeshi
Nkiwa tungi maana najua mzigo nao uingiza ndani si mchzo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vp ww jana ulifika salama
Ntakuelezeni Kisa round about ya askari monument alafu saa Sita mchana [emoji23] [emoji23]
Ilibidi nikalazwe central kwa mapumziko
Ova
Muda si mrefu,niko ktk meeting kdg kikiisha tu ,naanza kikao
Hivi jamani kitufe cha editing siku hizi hakipoMaana unaingizwa selo kama Mhalifu bali utakuta walikuweka ndani kwa kukuonea huruma[emoji3]
Hahahaha, pamoja SanaPole kusanya faranga mingi za kuweka heshima
Hivi Mwenyekiti pdidy mwenye mwandiko mbovu kuliko wote jf naye si memberDon't link n dive...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1545][emoji1545][emoji1545]salama kabisa ...haya huko central imekuwaje tena!?Mm nko pembeni
Mm na ulevi wangu wote siendeshi
Nkiwa tungi maana najua mzigo nao uingiza ndani si mchzo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vp ww jana ulifika salama
Ntakuelezeni Kisa round about ya askari monument alafu saa Sita mchana [emoji23] [emoji23]
Ilibidi nikalazwe central kwa mapumziko
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maana unaingizwa selo kama Mhalifu bali utakuta walikuweka ndani kwa kukuonea huruma[emoji3]