Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Yaani post yangu ya 5160,nimejizuia tangu siku ya 1 kukoment ila nmeshndwa.. Kweli njia ya upotevuni imesonga watu wengi.
Jamani wanywa soda 🥤 turudi kwenye uzi wetu tafadhali... Tumezidiwa na hawa walevi
 
Nani kakuambia kuna wanywa soda huku, mnajitafutia mapresha tu , mna nyuzi nyingi zenu tu.Waafrika mna shida sana kujitwika matatizo sio yenu
 
[emoji2] [emoji2] mkuu Rudi nyumban kumenoga (juice, maji na maziwa vinatosha)
Drink water, save beer [emoji482]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…