Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hii ilinikuta kipindi hicho kona baa,nilikua nimepaki nyuma nyuma huku kama unatokea sinza maana pale palikua nyomi balaa kama muda wa saa 9 usiku natoka naona gari langu limebaki lenyewe majirani zangu wote wamesepa ile nasogelea gari wazee hao,Swali la kwanza kwa nini umepaki kwenye wrong paki sijajibu mwingine akadakia kwanza kalewa sana hawezi kuendesha gari nasikia makosa mawili hayo.Nikachanganya akili kimjini nikawaambia gari si langu nimekuja kuchukua chaja tuu,mwenye gari nimewaacha kaunta,wa kaniambia unabahati mzee,thn wakasepa zao..walipotokomea na mimi huyooo
 
Wazee wenye vi ashok ndy zao
Huwa wanavizia bar zenye nyomi!
Ukielekea kwenye gari Lako haooo wamekuja
Wanakwambia njoo tuku pime kilevi...
Hata pale salenda bridge club huwa wanatega njeee!wanawavizia wanaotoka mule
Mimi binafsi nikipiga tungi Gari situmii maana nishapata mikasa sana naooo
Nlikuwa nawapa faida tu
Mfano tu ukikata mizingaaa 3 na bia kadhaa alafu jamaa wale wakugumie wakuchkulie vipimo kile kimashine kinaweza burst [emoji23] [emoji23]
Ukaishia kuingia kwenye mziki wao

Ova
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…