Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Karibuni wakuu aliye maeneo ya Redstone Moshi ajongee tukeshe
 
Nimekubali pombe ni pendwa, watu wanatiririka series tu, watu wanakunywa tu, watu wanazimua na mm nimo. Leta King Robert kwa meza.
 
Duh hpa nko bwaxxxx mbaya natafuta nkapige 1 for the road nirude tena
Nie peni code wapi ntampata bia sahv saa kumi na moja hii

Ova
katibu mi dar siijui vizuri, ila nathani wadau wata kusaidia
 
katibu mi dar siijui vizuri, ila nathani wadau wata kusaidia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mk 1 ngj niende [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uko chuga mjumbe

Ova
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mk 1 ngj niende [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uko chuga mjumbe

Ova
katibu hii ya kujua geo location yangu ina nipa ukakasi kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…