Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Siku hyo tumekwenda pale Kuna jamaa yngu alitaka glass ya nyagi bilali akaongea shit
Mm nainuka Nkaenda mtiaa vibao
Rose yule akamaindi nkamwambia waache ungese grocery ya bilali au yko

Ova
Ha ha ha , Katibu ulimfanyia umafia kweli
 
Ahhhh nkski kweli yule
Wema sepetu alikuwepo
Yule bilali si alikuwa kuwadi

Ova
Unajua hawa wanaojiita masupastaa , wana maisha mabovu sana.Ukiwajua unawa dharau na wakishajua unawajua fake life yao wanakuogopa
 
Ilikuwa nikienda hawanipi huduma[emoji23] [emoji23] ya tungi

Ova
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua hawa wanaojiita masupastaa , wana maisha mabovu sana.Ukiwajua unawa dharau na wakishajua unawajua fake life yao wanakuogopa
Kajala naye si alingiaga kwenye 18 zangu
Wte washnzi tu
Hvi mlibukua pamoja naye maana kuna siku alizingua watu tunatoka pori tumechoka tuna kiuuu akatujibu sheet kilichofuata itv
Bilali alikuwepo,bilali nilikuwa na nuksi naye[emoji23] [emoji23]

Ova
 
Itakuwa alikuwa akikuona , anatamani aondoke anajua akileta shobo inakula kwake[emoji3]
 
Wewe nimgeni nini?? Hao niwalevi wa majitaka itakuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…