mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unamkumbuka na aunt abuu wa mtaa wa Wibu kinondoni? Grocery yake ilikuwa funika bovu
Ana Kimeo oo changu mpk leo
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unamkumbuka na aunt abuu wa mtaa wa Wibu kinondoni? Grocery yake ilikuwa funika bovu
We mtu unajua kutumia ngj siku makambale tukutimbieA town. Uzunguni night park
Ha ha ha , Katibu ulimfanyia umafia kweliSiku hyo tumekwenda pale Kuna jamaa yngu alitaka glass ya nyagi bilali akaongea shit
Mm nainuka Nkaenda mtiaa vibao
Rose yule akamaindi nkamwambia waache ungese grocery ya bilali au yko
Ova
Ahhhh nkski kweli yuleHa ha ha , Katibu ulimfanyia umafia kweli
Ilikuwa nikienda hawanipi huduma[emoji23] [emoji23] ya tungiKafa halafu akafariki kabisa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
We mtu unajua kutumia ngj siku makambale tukutimbie
Ova
Unajua hawa wanaojiita masupastaa , wana maisha mabovu sana.Ukiwajua unawa dharau na wakishajua unawajua fake life yao wanakuogopaAhhhh nkski kweli yule
Wema sepetu alikuwepo
Yule bilali si alikuwa kuwadi
Ova
Hpa mm nmeozaaa expirence tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aise hiyo siku inaanza morning hadi kieleweke
Kajala naye si alingiaga kwenye 18 zanguUnajua hawa wanaojiita masupastaa , wana maisha mabovu sana.Ukiwajua unawa dharau na wakishajua unawajua fake life yao wanakuogopa
Nawapa ukweli +sheet[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa alikuwa akikuona , anatamani aondoke anajua akileta shobo inakula kwake[emoji3]Kajala naye si alingiaga kwenye 18 zangu
Wte washnzi tu
Hvi mlibukua pamoja naye maana kuna siku alizingua watu tunatoka pori tumechoka tuna kiuuu akatujibu sheet kilichofuata itv
Bilali alikuwepo,bilali nilikuwa na nuksi naye[emoji23] [emoji23]
Ova
Washnz tu!waleItakuwa alikuwa akikuona , anatamani aondoke anajua akileta shobo inakula kwake[emoji3]
Hapo nitaingia jioni, kuna ishu namalizia kidogo hapaWashnz tu!wale
Saasa tukutane aika basi kna kzi namalizia hpa then nakja aika
Ova
Wewe nimgeni nini?? Hao niwalevi wa majitaka itakuwaMadhara ya kutumia pombe ni makubwa kuliko inayoitwa faida.Wanywaji wengi wa pombe husahau kuhudumia familia zao,hujiingiza kwenye ufsika,wanakuwa na maendeleo duni,wanazeeka kabla ya wakati,wanapoteza heshima katika jamii,ni watumwa wa pombe wanawaza pombe usiku na mchana n.k.
Poa pia nipo nyuma kwa advocate sahvHapo nitaingia jioni, kuna ishu namalizia kidogo hapa
Ile nyumba nzri iliyobomolewa ufipaHapo nitaingia jioni, kuna ishu namalizia kidogo hapa
Uziiii huu haumhusuWewe nimgeni nini?? Hao niwalevi wa majitaka itakuwa