Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh wengine sjui tushakuwa makronik+makonki mambo ya supu hatunaga mawazo nayo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwendo wa maji mengi kunywa

Ova
 
Jana tume piga nyagi chupa za kmwaga [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwenye kilinge kna mmja wetu alinambia mbn umeme umekatika anaona giza kumbee vyombo vilimuingiaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…