Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo Mkuu inabidi unywe supu ya Kongoro weka Limao kwa wingi na Pilipili,au la unaweza kula kachumbari unaweka Tango,Nyanya,Limao,Pilipili,Chumvi n.kSafari na konyqgi za Jana najisikia hivyooo balaa,hivi nifanyeje kupunguza kilevikihwani
Kunywa maji mengiSafari na konyqgi za Jana najisikia hivyooo balaa,hivi nifanyeje kupunguza kilevikihwani
Duh wengine sjui tushakuwa makronik+makonki mambo ya supu hatunaga mawazo nayo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwendo wa maji mengi kunywa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hicho kijiwe bado kipo, nimekumbuka mbali sana na ile mboga yetu pendwa!Mazimbu, IPO IPO BAR mapema sana
Huku kwetu tunagonga kama kaw'ida...Hivi kwann sio rahisi kupiga vitu kama konyagi kwa mrija? ?
Jana tume piga nyagi chupa za kmwaga [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwenye kilinge kna mmja wetu alinambia mbn umeme umekatika anaona giza kumbee vyombo vilimuingiaaaa[emoji12][emoji12][emoji13][emoji14][emoji14][emoji12]
[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana tume piga nyagi chupa za kmwaga [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwenye kilinge kna mmja wetu alinambia mbn umeme umekatika anaona giza kumbee vyombo vilimuingiaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Hahahahaha ilikuwa hatariJana tume piga nyagi chupa za kmwaga [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwenye kilinge kna mmja wetu alinambia mbn umeme umekatika anaona giza kumbee vyombo vilimuingiaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Balaaaa mpk sahv kalalaHahahahaha ilikuwa hatari
Balaaaa mpk sahv kalala
Tarifa nmezipata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alifata moto wa gesi
Ova
Kuna wakati ukifika kwenye kunywa lazima uwe na timing [emoji23] [emoji23] [emoji23]We wakukaa mbali unakunywa kwa ku beep unaweza aibika bure
Nikishaona kikao kitakuwa kirefu naanza timing mapemaKuna wakati ukifika kwenye kunywa lazima uwe na timing [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Kile ki grocery hawana konyagi tmerudi kwa mangi kuendeleza karibu [emoji23] [emoji23]Nikishaona kikao kitakuwa kirefu naanza timing mapema
Kile ki grocery hawana konyagi tmerudi kwa mangi kuendeleza karibu [emoji23] [emoji23]
Ova
View attachment 922344
Wanataka kutupotezea timing&hesabu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahah anazo nyagi ndogo hajui hasara
Wanataka kutupotezea timing&hesabu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anacheza na wataalamu wa kulipa kodi