Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh wengine sjui tushakuwa makronik+makonki mambo ya supu hatunaga mawazo nayo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwendo wa maji mengi kunywa

Ova
 
Hivi kwann sio rahisi kupiga vitu kama konyagi kwa mrija? ?
Huku kwetu tunagonga kama kaw'ida...
image-2017-09-14-23-36-22.jpg
 
Jana tume piga nyagi chupa za kmwaga [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwenye kilinge kna mmja wetu alinambia mbn umeme umekatika anaona giza kumbee vyombo vilimuingiaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom