Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ebwana eeeh chimbo la mazoezi hilo,ila wengi wameenda Dodoma nadhani ,unakula bia huku unapata upepo wa bahari
Ah kna kisherehe tumezamia[emoji23] [emoji23]
Tumekaribishwa ila pombe bia Heineken na windhoek Inabdi tujisevie humu

Ova
 
Ngj mzee baba alegeze kamba ntakuibukia hko hko nkiwa na kazi

Ova
Hahahaha, eti Mzee Baba alegeze kamba ,kwani kakaza sana eeh? Lkn naona vijana wanakula bata km kawa

Huku karibu sana mpwa ,bata za huku mixer na wapopo/wasenegal na point 5 za kibelgium
 
Hahahaha, eti Mzee Baba alegeze kamba ,kwani kakaza sana eeh? Lkn naona vijana wanakula bata km kawa

Huku karibu sana mpwa ,bata za huku mixer na wapopo/wasenegal na point 5 za kibelgium
Si si wabishi kitamboooo mzee baba hatuwezi
Wngine sisi makambale

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…