Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Poa handsome
Bombadierrrrrrr ndani ya sherehe vinywaji tna vi import kwenye Meza ya wajanjaMambo mrembo
Nko mikocheni pande zako
Nko mikocheni pande zako
Ova
Nko mikocheni pande zako
Ova
Ngj mzee baba alegeze kamba ntakuibukia hko hko nkiwa na kaziDah huko mpk December ,niko bado huku porini
Ndani ya azura
Ova
Ah kna kisherehe tumezamia[emoji23] [emoji23]Ebwana eeeh chimbo la mazoezi hilo,ila wengi wameenda Dodoma nadhani ,unakula bia huku unapata upepo wa bahari
Hahahaha, eti Mzee Baba alegeze kamba ,kwani kakaza sana eeh? Lkn naona vijana wanakula bata km kawaNgj mzee baba alegeze kamba ntakuibukia hko hko nkiwa na kazi
Ova
Ah kna kisherehe tumezamia[emoji23] [emoji23]
Tumekaribishwa ila pombe bia Heineken na windhoek Inabdi tujisevie humu
Ova
Si si wabishi kitamboooo mzee baba hatuweziHahahaha, eti Mzee Baba alegeze kamba ,kwani kakaza sana eeh? Lkn naona vijana wanakula bata km kawa
Huku karibu sana mpwa ,bata za huku mixer na wapopo/wasenegal na point 5 za kibelgium
Safari carnival zinakjaaa humu specialHizo mkuu si utakunywa nyingi sana
Si si wabishi kitamboooo mzee baba hatuwezi
Wngine sisi makambale
Ova
Msibaa wa mwanawasa nlikuwa hkoWabishi ndio wanatakiwa ,huko nakuja X mas na new year ,kuwapisha Hawa majamaa wachaguane ,then narudi
Safari carnival zinakjaaa humu special
Unamjua a rhymose shanga
Ova
Mlemi yuleeee na james ila James hazipandiSafari carnival ndio chaka langu kuu,mdg ake da Patricia?