Rapid Tranquilizer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 374
- 392
Sasa sio ishu eti mama watoto anacheki zake movie seblen na ww unataka mpira mnaanza gombana..kaa bar hadi saa nne rudi nyumban hapo hadi yy ana feel ka Yuko na mume ndaniUjue umeongea cha kweli kabisa kuhusu kugombania remot
Walevi walivyowabishi lzma mmja aumizwe [emoji23] [emoji23]ha ha ha ha na kuimbishwa mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe....
HahhahaSogeaa
Ova
Karibu sana na vile pana giza gizaHahahaha, itabidi nitembelee hapo siku moja
Pombe lzma zitoke [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha, wazee wa lala chini
ha ha ha ha ha itabidi ulinzi uimarishweWalevi walivyowabishi lzma mmja aumizwe [emoji23] [emoji23]
Bar zinazojaza haifai huwa tunaenda kwa machale so fun walifungaga mtaa ajabu kituo cha polisi dk 5 kutoka hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Hahahah nilikuwa nataka nikuone tuHahahaha, nawe ulisema ni kibonge km nakumbuka vzr
Kweli kabisaSasa sio ishu eti mama watoto anacheki zake movie seblen na ww unataka mpira mnaanza gombana..kaa bar hadi saa nne rudi nyumban hapo hadi yy ana feel ka Yuko na mume ndani
Umakini tu wenye mabar wenyewe style zaoha ha ha ha ha itabidi ulinzi uimarishwe
Hahahah nilikuwa nataka nikuone tu
Karibu sana na vile pana giza giza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mzee acha uongoHahahaha, nami hivyo hivyo ,ili kua nikuone tu
Sasa mambo ya kuanzishiana thread na hii sura ya baba angu jamaniNitakaribia maana napenda sana giza giza ,na kutokuonekana na watu ,ndio maana naishiaga kwa mangi tu
Msemaji wangu
Hahahaha, kweli kabisa siwezi kukudanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mzee acha uongo
HahhahahhhHahahaha, kweli kabisa siwezi kukudanganya
Sasa mambo ya kuanzishiana thread na hii sura ya baba angu jamani
Hahhahahhh
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaha yupo tena mlokole
Ila mme kpataaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
HahahahahHahahaha, hapana mie MTU mzima asee ,hayo mambo ya vijana ,na uzee huu nikuanzishie thread kweli?
Thread tu za kawaida si anzishe iwe yako?
Kuwa na Aman