Zamani jeshini msasani tukienda bia za bei bwerere tukifika tu tunaagiza kreti 2 tunaweka chini ya Meza kbsa kupunguza jamMkuu ni bei swafi kabisa na upepo wa bure. Bei yake kreti hata tatu una nunua Mkuu.
Kwa mangi unajiaevia [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mangi anafaa sana
Walevi kutoka ndy zetu kwenye kulipaaa hatunaga utata[emoji2] [emoji2] [emoji2]Anakubali daftari[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeanza hiviView attachment 935521
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ova
Zamani jeshini msasani tukienda bia za bei bwerere tukifika tu tunaagiza kreti 2 tunaweka chini ya Meza kbsa kupunguza jam
Maana watu walikuwa wanajaaaa ilikuwa shidaaa
Ova
Vipi jiraniDuuu!
Naulizwaga mbn daily nalewaaaa HahahaHakuna Jam mkuu siku hizi hali ngumu.
Rafiki unatii kiu yako wapi [emoji41][emoji41]Oi Oi km kawa ,ulipaji kodi uendelee
'LIPA KODI KWA MAENDELEO YA TAIFA'
Rafiki unatii kiu yako wapi [emoji41][emoji41]
Rafiki sehemu huku mbali mbali huku
Hahahaha, ndio hivyo hivyo RafikiSawa rafiki ukilipa kodi huko inaletwa huku kwetu[emoji23][emoji23][emoji23]
Naulizwaga mbn daily nalewaaaa Hahaha
Ova
Vipi jirani
Kampani tu kubwa ya wanywaji [emoji2] [emoji2]Mkuu utakua upo vyedi mfukoni .