Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mkuu ni bei swafi kabisa na upepo wa bure. Bei yake kreti hata tatu una nunua Mkuu.
Zamani jeshini msasani tukienda bia za bei bwerere tukifika tu tunaagiza kreti 2 tunaweka chini ya Meza kbsa kupunguza jam
Maana watu walikuwa wanajaaaa ilikuwa shidaaa

Ova
 
Mangi anafaa sana
Kwa mangi unajiaevia [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Ova
20181115_200514.jpg
 
Zamani jeshini msasani tukienda bia za bei bwerere tukifika tu tunaagiza kreti 2 tunaweka chini ya Meza kbsa kupunguza jam
Maana watu walikuwa wanajaaaa ilikuwa shidaaa

Ova

Hakuna Jam mkuu siku hizi hali ngumu.
 
Back
Top Bottom