mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Zamani jeshini msasani tukienda bia za bei bwerere tukifika tu tunaagiza kreti 2 tunaweka chini ya Meza kbsa kupunguza jamMkuu ni bei swafi kabisa na upepo wa bure. Bei yake kreti hata tatu una nunua Mkuu.
Maana watu walikuwa wanajaaaa ilikuwa shidaaa
Ova