Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajuaa sana wewe
Ova
We unaenda lini[emoji38] Huendi Mbinguni
Mtafute katibu kwa mangiPoa poa, ngoja nipambane nihame kiwanja nikatafute wadau.
Katibu unatisha [emoji23][emoji23][emoji23]Mm si mzushi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Gia siku ya kwanza kwenda pale nkawmbia unamuona jmaa yangu hyu yuko uhamiaji hpo basi wakawa wa pole [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanauza bia 4000/ mm na uzi wa kwa bei elekezi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Piga msosi kwanza ndio whiskyHahahah mzee wa Ova . Sasa wacha nipige whisky [emoji1634] then nile.
Ok karibuWill be there from Tuesday 21st to Satoo ! Will surely visit the place .
Nlikutana na kisa kimoja nlikiona ilikuwa balaaaa ilikuwa uhuru peak pale kitambo kdg kulikuwa na mzee mmja alikuwa kigogo go kwenye govemnto....kigogo hyo alikuwa anamgonga mhudumu mmja ple Dah siku ya siku wife alibuka day moja watu tupo pale tunavesha tukaskia njugu mhudumu ikamkosa mhudumu sisi wote tulitoka ndukiiiWahudumu wa baa huwabandui kweli
Maisha Bila uzushi hayaendi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katibu unatisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha Bila uzushi hayaendi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Yupo kilingeni sahv[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwenyekiti yupo anatuombea leo
Ok karibu
Ohoo ntajongea mida mida hapoBurka coffee lounge
Chimbo lipi hilo
Ova
Huyo atakuwa mwandishi flani[emoji125]Nlikutana na kisa kimoja nlikiona ilikuwa balaaaa ilikuwa uhuru peak pale kitambo kdg kulikuwa na mzee mmja alikuwa kigogo go kwenye govemnto....kigogo hyo alikuwa anamgonga mhudumu mmja ple Dah siku ya siku wife alibuka day moja watu tupo pale tunavesha tukaskia njugu mhudumu ikamkosa mhudumu sisi wote tulitoka ndukiii
Ila kigogo hyo kastaafu siku hzi kijiwe chake kilikuwa bonga bar (Jina lke passwrd[emoji23] [emoji23] [emoji23] )
Ova
Hahahahahah hahahahaHuyo atakuwa mwandishi flani[emoji125]
Basi tuuchuneee [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo atakuwa mwandishi flani[emoji125]