Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mm si mzushi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Gia siku ya kwanza kwenda pale nkawmbia unamuona jmaa yangu hyu yuko uhamiaji hpo basi wakawa wa pole [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanauza bia 4000/ mm na uzi wa kwa bei elekezi[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
Katibu unatisha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
IMG_0498.JPG
IMG_0497.JPG

Najiandaa kuangalia Taifa Stars .
 
Wahudumu wa baa huwabandui kweli
Nlikutana na kisa kimoja nlikiona ilikuwa balaaaa ilikuwa uhuru peak pale kitambo kdg kulikuwa na mzee mmja alikuwa kigogo go kwenye govemnto....kigogo hyo alikuwa anamgonga mhudumu mmja ple Dah siku ya siku wife alibuka day moja watu tupo pale tunavesha tukaskia njugu mhudumu ikamkosa mhudumu sisi wote tulitoka ndukiii
Ila kigogo hyo kastaafu siku hzi kijiwe chake kilikuwa bonga bar (Jina lke passwrd[emoji23] [emoji23] [emoji23] )

Huyo atakuwa mwandishi flani[emoji125]
 
Back
Top Bottom