Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wana vijiwe vyao vya kimya kimya tukiwagumia ahh mwendo mdundo
Unafikiri Hawa madon wanakaa bar zenye majina wao ni zile za kawaida tu
Ukiwa na mipango sku hyo unataka hela ya kuforce unawatimbia unawaimbisha tu unakaa Sawa

Ova
😎😎😎 angalia unaamsha waliolala katibu.
 
Kwamangi siunajua ni wima au uingie ndani uanze kuambiwa hebu nisagezee hiyo chumvi best, samahani lakini.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
Hvi ki bar cha masumbko lamwai mtaalam wa criminal law bado kupo hpo kunduchi jamaa yko vzri naye kwenye sector yetu hayumbi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…