Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Umekula maana tumechoka kutoa rambirambi!
Uwe na moyo wa huruma kwetu tuliokitafuta kifo kwa hiari utoe tu mkuu.
Nimekumbuka supu niliyokunywa haikua na nguvu ngoja niagize kitimoto nitakukaribisha kama tukiwa wachache tukiongezeka sikukaribishi upambane na hali yako.
Namkaribisha tu dada na kaka NAHUJA na Mshana Jr bila kumsahau Asprin .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…