Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mkuuu kaa mbali na madude haya yenye picha ya ndege.....
Hahahahhaa wamuonaje eagle ndege? Hatariii
Ila Serengeti lite Ni baridi mno na soft for begginer
Rudi upande huo
 
Alafu tabia mbaya jana nimelewa ukashindwa kuninyanga'nya simu mpaka naandika upupu mxeew kabisa wewe
Ukilewa ni faida kwangu, japo nilifeli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
juma 2 ili iliyo pita nilifanya kituko kiasi.kwamba paka.sass nimesimama.mwenyewe bira kulazimisha nitafakali.kwanza lire janga la.karne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…