Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

kati ya bia zilizo nishinda ni hizi mkuu!
ila nashukuru sana boss...its the thought that counts
Hizi je? Kilevi + libido + defating
tapatalk_1536732044948.jpeg
 
Kwa huu mzigo mzee baba Mshana Jr.Aiseee sisi watu wa Mwanza,Kagera,Geita,Chato na maeneo ya Interlucustrine zone wote tunasema URIMORA SAAAAANAAAA Mzee jiwe maana goma limeshuka bei adi sasahivi nasikia ni 1,500 tuu na bado baa zinakosa watu yani vyuma vimewakaza wanywaji
Wabheja thana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
halafu naomba kujua hivi bia za Ndovu zimeishia wapi jameni??
Walevi wale walikufwa wote[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Walevi wale walikufwa wote[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
😂😂😂dah aisee!
kati ya local beers nilizo zikubali ni hii.
 
Pilsner King, ni balaa, juz ijumaa tulikuwa Maeneo ya Goba, tuko washkaj wanne, mara Mmoja akasema Wife anakuja anataka ale hapa, baada ya Muda akaja, sasa yule jamaa aliekuwa anakunywa Pilsner akawa ameshakunywa 3,.so akaagiza na konyag ndogo,.dah, sasa mshkaj aliyekuja na mke wake akaenda alipe bill ya chakula ili amrudishe wife Home,.sasa huku nyuma jamaa wa Pilsner konyag akamwambia mke wa jamaa kuwa Mume wako ni mtu wa totoz sana, anapenda hata wahudumu wa bar,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatar sana... ile kitu sio ya kuchezea
Kweli pombe siyo Chai, yaani jamaa akamgeuka mwenzie. Hope wife hakutilia maanani alijua jamaa kalewa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom