Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa mangi kama kawaMuda huu kweli , wale jamaa wa crown na mabibi afya hawatakuzingua? au ndio viduka vya mangi
Wabheja thana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa huu mzigo mzee baba Mshana Jr.Aiseee sisi watu wa Mwanza,Kagera,Geita,Chato na maeneo ya Interlucustrine zone wote tunasema URIMORA SAAAAANAAAA Mzee jiwe maana goma limeshuka bei adi sasahivi nasikia ni 1,500 tuu na bado baa zinakosa watu yani vyuma vimewakaza wanywaji
naamini hizi zitanifaa zaidi kutokana na faida zake😂😂😂Hizi je? Kilevi + libido + defatingView attachment 864003
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shindweni wenyewe View attachment 863999
😂😂😂dah aisee!Walevi wale walikufwa wote[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Bongo ipo hii?hiyo kitu, kama hujala una rest in peace
Wazee wa kauntaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ipo bongo hiiView attachment 863976
Tumbo lazima liwe na amani ya shibe sahihi. kuna mtu wangu hapa ananidondoshea nne ikiwa mimi mbili zinatosha.
Naonaga inanyweka na watu wachacheKitu milk stout mwisho wa matatizo
Kweli pombe siyo Chai, yaani jamaa akamgeuka mwenzie. Hope wife hakutilia maanani alijua jamaa kalewa[emoji3] [emoji3] [emoji3]Pilsner King, ni balaa, juz ijumaa tulikuwa Maeneo ya Goba, tuko washkaj wanne, mara Mmoja akasema Wife anakuja anataka ale hapa, baada ya Muda akaja, sasa yule jamaa aliekuwa anakunywa Pilsner akawa ameshakunywa 3,.so akaagiza na konyag ndogo,.dah, sasa mshkaj aliyekuja na mke wake akaenda alipe bill ya chakula ili amrudishe wife Home,.sasa huku nyuma jamaa wa Pilsner konyag akamwambia mke wa jamaa kuwa Mume wako ni mtu wa totoz sana, anapenda hata wahudumu wa bar,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatar sana... ile kitu sio ya kuchezea