Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mshana Jr itabidi utoe listi za bar zinazongoza kwa kuchomekea bili

Ova
B bar sinza Mori ,samaki samaki ya mcity,miti mitatu kimara korogwe, kisuma Na zamani kabla haijafa catalunya
 
D
Ukishalewaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] View attachment 865287
Daah kuna wale wenzangu unakutana na wa hivi ukishalewa sasa!!
images (1).jpeg
images.jpeg

Unamuona hivi
images (2).jpeg
🈚
 
B bar sinza Mori ,samaki samaki ya mcity,miti mitatu kimara korogwe, kisuma Na zamani kabla haijafa catalunya
Samaki samaki kweli[emoji23]
Wale wanafikiria wanywaji wote wanaokwenda hapo ni mashuaa
B bar napo kwa kuchomekea hawajambo

Ova
 
Back
Top Bottom