Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ataenda mbinguni [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah jana Hali ilikuwa mbaya [emoji23] nimeona nianze HVI niweke netrwk Sawa

Ova
20180915_102536.jpg
 
Uwe na moyo wa huruma kwetu tuliokitafuta kifo kwa hiari utoe tu mkuu.
Nimekumbuka supu niliyokunywa haikua na nguvu ngoja niagize kitimoto nitakukaribisha kama tukiwa wachache tukiongezeka sikukaribishi upambane na hali yako.
Namkaribisha tu dada na kaka NAHUJA na Mshana Jr bila kumsahau Asprin .
Eeee Mungu wangu unaongeza na kitimoto tena!!!!!!!?
 
Uwe na moyo wa huruma kwetu tuliokitafuta kifo kwa hiari utoe tu mkuu.
Nimekumbuka supu niliyokunywa haikua na nguvu ngoja niagize kitimoto nitakukaribisha kama tukiwa wachache tukiongezeka sikukaribishi upambane na hali yako.
Namkaribisha tu dada na kaka NAHUJA na Mshana Jr bila kumsahau Asprin .
Huyo kibabu huyo sijui ungemuacha tu asije? [emoji125]
 
Back
Top Bottom