theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Ni wewe ama naota?Ungeenda kwenye Uzi ule wa wanywa soda na juice huku hawakuelewi..........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wewe ama naota?Ungeenda kwenye Uzi ule wa wanywa soda na juice huku hawakuelewi..........
Ndio maana !Mimi mama kijacho 😛😛😛
Ni Mimi mkuu kwakweli 😉Ni wewe ama naota?
Hivi hizi nazo mnaita bia?Aliyegundua hii kitu ashukuriwe sana, siku hizi uwezo wa kupiga vikali unapungua kwa kasi, au sijui ndiyo nataka kuokoka au ni nin hiki, mana napiga vi serengeti tu.
View attachment 863150
Nini kimekusibu?Ni Mimi mkuu kwakweli 😉
Nahuja mae,kumuuta kuu mopia oru eeh??
Nilipumzika miaka miwili , naona stress za vyuma zimezidi hazilainiki bila hii kitu …..Nini kimekusibu?
Umebadilika kwelikweli anyway tutaonana siku ya JF party upate vitu laini laini...Nilipumzika miaka miwili , naona stress za vyuma zimezidi hazilainiki bila hii kitu …..
Tarehe hizo nahesabia masiku ya kuingia leba 😕😕😕 Ningekuja nipate hivyo lain lain........Umebadilika kwelikweli anyway tutaonana siku ya JF party upate vitu laini laini...
Natumai ushatoa mchango?
Garage?
Sasa best siku za kwenda labour zimefika na bado unakunywa pombe unamtakia mema mtoto wetu kweli?Tarehe hizo nahesabia masiku ya kuingia leba 😕😕😕 Ningekuja nipate hivyo lain lain........
Ana mrithisha mapema, mwanachama ajaye ,safi sanaSasa best siku za kwenda labour zimefika na bado unakunywa pombe unamtakia mema mtoto wetu kweli?
Hii mada yako inanisababishia matatizo nilikua sina mpango wa kunywa mida hii sasa nilikua nasafari kwenda kusalimia jamaa zangu matokeo yake miguu haitaki kuelekea mbele nilipokusudia, yenyewe inapindia kulia tu nimeangalia inapotaka kuelekea naona kuna nyumba ina utambulisho wa bar na nyama choma [emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji87]
Naomba asifuate nyayo za mama yake tafadhali...Ana mrithisha mapema, mwanachama ajaye ,safi sana
Wanachama watapungua [emoji1] [emoji1]Naomba asifuate nyayo za mama yake tafadhali...
Kwa Siku moja au mbili sizidishi hapo kwakweli.....Sasa best siku za kwenda labour zimefika na bado unakunywa pombe unamtakia mema mtoto wetu kweli?
Ila ndio ukweli huo best....Kwa Siku moja au mbili sizidishi hapo kwakweli.....