Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Leo ndio weekend jamani
Karibu
1537017054767.jpg
 
Hahaha na wewe lini utaenda kambini kwenu Mindu street? Hivi ni Madaraka anayeenda au nani? Ulabu huko hauendi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]takuambia kule
 
Nimevamia kwa nguvu jiji la Mwanza, kuna kijiwe kinaitwa Bundesliga ndiyo nipo nachangia Kodi, baadae mkiona nimepost utumbo mnisamehe nitakuwa sio Mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom