Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #1,361
Makinika na hiyo inatoa povu.. Itekenye kwa chini ikizidi kupovuka achana nayoKili time View attachment 867354
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makinika na hiyo inatoa povu.. Itekenye kwa chini ikizidi kupovuka achana nayoKili time View attachment 867354
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Juzi kati nilikua kijiji nakula egle zile ndogo na Chalii yangu tukalewa sasa nikawa nataka kuongeza!
Wakasema bia na mbege zimeisha nikauliza kuna nini?
Wakasema zipo banana za mbundi
Chalii yangu akadai leta hizo hizi 6 tuwekee kwenye chubuku
Ikaletwa babu!!
Inafoka kwenye jagi,kupiga nguchu mbili nilihisi machozi yanalengalenga
Tulivyomaliza tuko tusu ukiangalia TV unaona ziko 2
Nilishindwa kurudi town sikuile
Banana Kali aisee
[emoji118] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Juzi kati nilikua kijiji nakula egle zile ndogo na Chalii yangu tukalewa sasa nikawa nataka kuongeza!
Wakasema bia na mbege zimeisha nikauliza kuna nini?
Wakasema zipo banana za mbundi
Chalii yangu akadai leta hizo hizi 6 tuwekee kwenye chubuku
Ikaletwa babu!!
Inafoka kwenye jagi,kupiga nguchu mbili nilihisi machozi yanalengalenga
Tulivyomaliza tuko tusu ukiangalia TV unaona ziko 2
Nilishindwa kurudi town sikuile
Banana Kali aisee
Ya moto imetikiswa nimesha test hivyo[emoji13]Makinika na hiyo inatoa povu.. Itekenye kwa chini ikizidi kupovuka achana nayo
Sasa unatekenya vipi?Makinika na hiyo inatoa povu.. Itekenye kwa chini ikizidi kupovuka achana nayo
Ndo naona SAA hizi. Ngoja niendelee kudebate na ubongo kama nije Goba au niendelee kukaa kitandaniHahaha, tukutane triple B baadae kwenye show ya Xtian Bella, aisee nimeamka na KGB hapa bado navesha tu..View attachment 866675
Hahahahaa. Bora hata unakunywa wengine hawataki harufu ya pombe etiVipi wenzangu leo ni Weekend mnaenda wapi? Mimi ni mfungwa wa ihari hivyo nipo hapa nyumbani. Mwenzangu mlokole wa ihari naye hivyo nakunywa ananiangalia ingawa kanunua mwenyewe.
ShikamooYani Konyagi lite nazo zipo kwa mama nimekalisha vischana vi 5 na Serengeti lite 3 asubuhi nikaamka mpya kabisa saa moja nipo town
Hahahahaa. Bora hata unakunywa wengine hawataki harufu ya pombe eti
Fundi[emoji3]Makinika na hiyo inatoa povu.. Itekenye kwa chini ikizidi kupovuka achana nayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23] na kidole cha kati
jamani goba ipi unayokuja? am bored hatar nije hata kusogeza masaa .Ndo naona SAA hizi. Ngoja niendelee kudebate na ubongo kama nije Goba au niendelee kukaa kitandani
Kama mimi vile.Hahahahaa. Bora hata unakunywa wengine hawataki harufu ya pombe eti