Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Juzi jumamosi kunasehemu nilienda nikaa meza moja na mmama mmoja hivi, kwanza alianza kunywa castle lager kama 5 zikaisha akaagiza konyagi ndogo 1 akaimaliza akaamia kwenye safari kapiga 4[emoji4]akaona ukuda huu akaagiza konyagi saizi ya kati [emoji2] nikaona hapa nitaaibika yaani mimi nakunywa serengeti lite na tayari zimeanza kunichukua nikatoka nduku[emoji125][emoji125][emoji125] balaa.Ila yule mama ni jembe walaah [emoji23][emoji23]
 
Tambua yafuatayo kutokana na pombe.
Migogoro ndani familia (ndoa)
Magonjwa km Ukim...
Ajali zinazoepukika.
Kuua na kupoteza future yako wewe pamoja na watoto wako.

Stay alert guys!
 
Tambua yafuatayo kutokana na pombe.
Migogoro ndani familia (ndoa)
Magonjwa km Ukim...
Ajali zinazoepukika.
Kuua na kupoteza future yako wewe pamoja na watoto wako.

Stay alert guys!
Nimeagiza mzingaaa Dah alafu konyagi size ya kati kutokea kubwaa ile bombardier adimu sanaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] nmepaata lkn

Ova
20180917_170520.jpg
 
Tambua yafuatayo kutokana na pombe.
Migogoro ndani familia (ndoa)
Magonjwa km Ukim...
Ajali zinazoepukika.
Kuua na kupoteza future yako wewe pamoja na watoto wako.

Stay alert guys!
Ukiitumia vibaya. Kila kitu ukizidisha kina madhara ata chakula ukizidisha kina madhara sijui madhala R na L zina nichanganya

Karibu balimi.
 
Back
Top Bottom