geesten66
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 2,042
- 2,370
TehtehtehJiwe alisema wana washwashwa.[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji475]. Nikiteleza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TehtehtehJiwe alisema wana washwashwa.[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji475]. Nikiteleza
Asante mwenyekiti mzee baba umemjibuHao hawajitambui.. Nimeanza kunywa mwaka 1985 wakati plisner laga ilikuwa inauzwa Tsh 30,sijawahi kupitia yote hayo...
Ukizingatia kanuni hizi tatu za pombe itakupa maendeleo heshima na marafiki
. Usijisahau wewe ni nani
. Uko wapi
. Unafanya nini
Dah[emoji39][emoji39][emoji39]Nyagi geji inashukaaaa tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
View attachment 869069View attachment 869070
Vp petro mselemwaaa wa jf hawez au atatuingiza chkaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nitafute wakili mwanachama kwanza
Ikishafika ya 7 unazungusha bila shida upendo wa agape hahahahNo mkuu unakiribishwa
Humu ila piga vyombo
Tuko pamoja si unajua sisi wanywaji aka walipa kodi watiifu tuna upendo sana
Ova
Wakili msomi ila mpe sharti lazima awe mpiga tungi kama sisi kama hapigi achana nayeSubiri
Umelewa [emoji15]Hii pua ya ukweli au nimelewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ikishafika ya 7 unazungusha bila shida upendo wa agape hahahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi ni tabia zangu kabisaa... mashoga zangu huwa wananijia na gia ya kunitoa maana kaubahiri nacho nimejaliwa [emoji38], ila sasa nikifika eneo la tukio savana 2 tu nabadili uelekeo ofa ntatoa mimi tip ntatoa mimi yaan asubuhi majuto tupu mkuu!!Endlea kulifanyia utafiti wapo ambao wakinywa pombe hata kama kaficha pesa chini ya jiwe ataifata tu. Pia wanakuwa wabishi kuondoka bar. Inakuaje kwa hili Mkuu?
Nipe location [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi ni tabia zangu kabisaa... mashoga zangu huwa wananijia na gia ya kunitoa maana kaubahiri nacho nimejaliwa [emoji38], ila sasa nikifika eneo la tukio savana 2 tu nabadili uelekeo ofa ntatoa mimi tip ntatoa mimi yaan asubuhi majuto tupu mkuu!!
Hivi leo ni jumatatu kweli [emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Namalizia niondoke kwenye mji wenu, kesho Mungu akipenda nitakua viwanja vya nymbani chuga. Mnitakie safari njema na sio safari bia.Tehtehteh
Hivi mwanamke kunywa pombe. Hujishtukii hata mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi ni tabia zangu kabisaa... mashoga zangu huwa wananijia na gia ya kunitoa maana kaubahiri nacho nimejaliwa [emoji38], ila sasa nikifika eneo la tukio savana 2 tu nabadili uelekeo ofa ntatoa mimi tip ntatoa mimi yaan asubuhi majuto tupu mkuu!!
[emoji23][emoji23][emoji23]mdau safiri salama wewe sasa cheo chako ni PR, mrangi karibuNamalizia niondoke kwenye mji wenu, kesho Mungu akipenda nitakua viwanja vya nymbani chuga. Mnitakie safari njema na sio safari bia.View attachment 869092
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na vyuma hivi!!! siku hizi ni indoors tu kama ni ofa najipa mwenyewe mkuu[emoji39]Nipe location [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] sikuwezi.Namalizia niondoke kwenye mji wenu, kesho Mungu akipenda nitakua viwanja vya nymbani chuga. Mnitakie safari njema na sio safari bia.View attachment 869092