mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mbwembwe tu[emoji23] [emoji23] swaga fulaniHivi hizo Konyagi why zinalazwa tu na hzisimamishi?
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwembwe tu[emoji23] [emoji23] swaga fulaniHivi hizo Konyagi why zinalazwa tu na hzisimamishi?
Zinalazwa kwa ajili ya kum tackle yule bwana kwenye lebo aliyeinua mikono juu!! Ukiisimamisha ni kama vile unashindana naye na kamwe huwezi kumshinda,atakutoa knock out tu hehehe... jana nimezipiga sana bapa ayseeHivi hizo Konyagi why zinalazwa tu na hzisimamishi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakuwa zina migongo... Jaribu kwenye bia uone
Sana tokea kumi na mbili tuko kwenye mutikasi ya kusaka notiWalipa kodi tumeamkaaa kitambooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Tena anatokea mpumbavu mmoja anakupangia matumizi[emoji16]Sana tokea kumi na mbili tuko kwenye mutikasi ya kusaka noti
Unazipima urefu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tape measure mbovu hyo[emoji23] [emoji23]
Ova
Mamamamaeeee 😂😂 Bombadia hiyo si mchezo 🙌[emoji23][emoji23][emoji23] achana na Kaizer laga kula hii basi View attachment 869402
Nipe location [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23] achana na Kaizer laga kula hii basi View attachment 869402
Tunaiita kaliHapo ilikua mwendo wa nyota ile isiyo na kichungi [emoji23][emoji23][emoji23].
Na kweli ubahili mwisho bia ya nne [emoji56][emoji56]Hili tatizo sio kwako tu. Hata mm huwa nakua mkarimu sana nikisha pata kuanzia beer 4.