Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ukisikia u-snitch first class ndio huu yaani TBL wanatuuzia bia afu wanaenda kuwapa polisi vipima pombe ili iweje sasa jamani? [emoji38][emoji38][emoji38]
Mungu anawaona!
IMG_20180918_151809_882.jpeg
 
Sasa balaa ni pale inatokea umetembea na ATM kadi mfukoni, unaweza kwenda kupigana na watu wa benki siku inayofuata.. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ukiona nyuzi kama hizo ni kwamba wameshindwa kuandika kuuliza: jamani mnapatapataje hizo hela za kugongea ulabu....?[emoji851][emoji851][emoji851]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wivu wao tuu... Wengine wanaongea sana kwakuwa wako bankilamt subiri wazikamate
 
Ukianza kwenda bar, hakikisha unamkabidhi mkeo ATM kadi na simu zako zote halafu mwambie aende kusalimia popote ila asikwambie anapoenda,
Muhimu asiwe anajua namba za siri za ATM kadi vinginevyo mtakutana viwanja na yeye kakusanya vijeba anazungusha raundi [emoji851][emoji851][emoji851]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wivu wao tuu... Wengine wanaongea sana kwakuwa wako bankilamt subiri wazikamate
Wanasahau sentensi zao wanahama na majumbani kwa muda, ukiwauliza wanasema mliwanukuu vibaya [emoji851][emoji851][emoji851]...!!! Dahh..!! Anyway ndo tumepumzika chalinze tunastua kutoa uchovu kumi na mbili tunaliamsha....
 
Swaga za wanywa soda na shurubati [emoji119][emoji119][emoji119][emoji115][emoji115][emoji38][emoji38][emoji38]no offense...!!!! View attachment 870001
Kwa hiyo wametoka kujisaidia hata kupandisha sarawili issue, halafu ndo binti anakuletea huyo kukutambulisha kuwa ni mkweo mtazamiwa...!! Kwa uwezo ulionao wa Msata kilingeni utamfanyaje.. [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom