Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hongera ila chunga wenge la kesho [emoji42][emoji42][emoji42]
Balaaa a la wachangiaji kodi hapa

Ova

20180918_230647.jpg
 
Kesho 11 asubuhi namkaaa [emoji23] [emoji23] nakwenda ikwiriri chap

Ova
Shari nilikua nakustua tu. Maana kwenye wenge la tungi namba huwa zinapiga sarakasi 9 unaisoma 6 na 6 inakua 9 [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawaona tu T. R. A walivyokaa na calculator wanavyobofya vitufe kujumlisha mahesabu kwenye uzi wa bro Mshana jr [emoji851][emoji851]
Me mkuu Niko morogoro malinyi ukuu hapa ndo kwanza naendeleza dude hd saa sita hv ndo nikalalee
 
Mi ndio Chalii yangu wangu wa toyo kanileta nyumbani kwangu geti nimefunga nilale sasa sitaki Shida
 
Nawaona tu T. R. A walivyokaa na calculator wanavyobofya vitufe kujumlisha mahesabu kwenye uzi wa bro Mshana jr [emoji851][emoji851]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom