Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 938
Mkuuu tunahamia counter sasa,naona wahudumu wanachelwa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuu tunahamia counter sasa,naona wahudumu wanachelwa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Safi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuuu tunahamia counter sasa,naona wahudumu wanachelwa tuView attachment 873636
Hahahahaha mkuu Leo itakua sababu ya uchovu wa jana,Mbna kama leo visafari vdg kama vibali nmepiga 7 mpk sasa naona inataka kunitoa knkout
Ova
Nmpiga tungi siku 10 non stop DahHahahahaha mkuu Leo itakua sababu ya uchovu wa jana,
Me nahamia kvant soon tu naona lite zinanirushia wenge tu
Hahahahaha mkuu umetisha me nishwah fululiza km five days hv alaf kila siku crate k'njaro ikatike,mpaka nikapata homa kabisaNmpiga tungi siku 10 non stop Dah
Ngj nkomae mdg mdg [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Nipo cha 4 nagongea home leo havileweshi kabisa..nahamia kwenye nyagi sasaMbna kama leo visafari vdg kama vibali nmepiga 7 mpk sasa naona inataka kunitoa knkout
Ova
Kna wakati fulani tulipiga tungi siku 27 non stop na wanywaji wenzangu aise tulikuwa kma maiti kila mtu hoiHahahahaha mkuu umetisha me nishwah fululiza km five days hv alaf kila siku crate k'njaro ikatike,mpaka nikapata homa kabisa
Hata mm nafikiria kubadilisha Gia an gani na nyagi [emoji23] [emoji23]Nipo cha 4 nagongea home leo havileweshi kabisa..nahamia kwenye nyagi sasa
Hahahahhahaha hiyo lazima mkuu,Kna wakati fulani tulipiga tungi siku 27 non stop na wanywaji wenzangu aise tulikuwa kma maiti kila mtu hoi
Ova
Ni moja ya kazi hiiHahahahhahaha hiyo lazima mkuu,
Tungi muda mwingne linachosha Sana
Ila wacha tuzipige tu maana hakuna namna sasa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Naona Leo weekend alafu pamepwaya Sana aisee,au Mambo hayajacheka kwa wengi nn??Ni moja ya kazi hii
Ova
Muda bado unaruhusu ngj tuoneNaona Leo weekend alafu pamepwaya Sana aisee,au Mambo hayajacheka kwa wengi nn??
Maramae kweli wewe una format ubongoMi mishe zimekata leo hapa nshapiga za bei rahisi zile zinaitwa boss nanasi kama mbili mixa safari baridi... nataka kuformat ubongo leo
Pombe ni kulewa Mkuu, hkn kingineNamshangaa sana mtu anaekunywa pombe kama starehe
Mimi nakunywa ili nilewe