Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenyekiti kwenye mabar wamekuzingua sana

Ova
Ya huko ilikuwa nzuri... Nilifika alone nikaondoka na mtu wa mtu baada ya jamaa kuzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi nlikutana na kisa kimoja nlienda kwa bar moja ndani ndani uswazi kuna bar moja iko mwananyamala kisiwani ilikuwa saa saba usiku niko geji mbaya kuna Majamaa walikuwa na dem wakaniona brazamen
Kwenda chooni kuna dem mhuni alinifata anataka kuni kabali nkamtuliza nliporudi kaunta ye na wenzake wakaniona nmekaa na mhuni mmja wa hko mitaa yao anaitwa kibesi basi wakaona Dah [emoji23] [emoji23] [emoji23]

😀 😀 😀 😀
 
Ben pub ya zamani sana nishachaga kwenda
Watoto wahuni wa msisiri wnajaaga hpafai

Ova
Naona nahitaji ku update database yangu aisee au sijui ni uzee? Unaikumbuka Neema bar Morocco? Haipo tena... Pazi kwa matapeli bado inapumua
 
Dah ile naijua mbele ya tausi bar
Neema nshapata Kimeo pale
Nkalazwa hadi obay [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Dah long time aisee... Hebu nipe flash back kidogo ya hicho kisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nlitoka safari dizonga kna jamaa yangu akaniita pale nkasogea basi tungi tungi
Tulikunywa bia za 50000/ hvi tukaletewa bill 130000 ahhh tu kasema haiwezekani mtu mbili tutumie hela hyo wao Sasa walijua tuko tungi kmbe tkk makini
Yule kaunta nanii mshnz sana kwenye ku bish na akaitwa manager yule tu kamwambia atupe break down maana sisi tulimpa yetu akaja mhudumu mmja akatutetea saa yule manager akampiga mhudumu [emoji23] [emoji23] [emoji23] nkaona nachelewa tukamtandika manager naye chni Mara tumekaaa defenda hyo tukapelekwa obay
Poa syo kesi kesho yke kalinga enzi hzo akatutoa pLe obay
Lkn nlimrudiamanager baada mwzi hvi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]safi sana
 
2015 Baada ya Kumaliza Kidato cha Sita, tokeo lilipotoka nilifurahi sana, nikasema ngoja leo nipige vitu.. Nilipiga Maji kinoma, kiroba, safari, k-vat, konyagi zote nilichanganya.. Bahati mbaya saana ilinyesha Bonge la Mvua.. walionibeba waliniambia walitembea kama hatua 100 hivi hawanioni.. kuja kunitafuta wanakuta Naelea juu ya Maji huko.. Pombe sio Chai..
Haaaaaa mkuu ulizidishi divai!!
 
Dah long time aisee... Hebu nipe flash back kidogo ya hicho kisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nna kisa kilinikuta masai bar Kino ntakuadisia Lile Tukio waliyovamiawaga mm nlikuwepo
Siku hyo nlitoka porini nkaingia dar mapema sna nlianza pombe na jamaa yangu kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa Tatu fulani hvi
Ahh nkawa nmlewa sanaaaaa na jamaa yangu nay alizima nkasema nmtoe pale masai Dah ile tunavuka barabara kwenda kwao kumpelekea(mitaa ya akba bank sahv)
Ile tunaingia getini tunasizi nje kwake kwenye kochi naskiaaa shabaaa watu wakalazwa chini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna mteja mmja akapewa shabaaa nakumbuka alikufaaa
Dah nkasema a sisi tungekuwepo

Ova
 
Back
Top Bottom