mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenyekiti kwenye mabar wamekuzingua sanaSalute kubwa sana...! Ya komakoma nina story yake nitasimulia siku moja
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenyekiti kwenye mabar wamekuzingua sanaSalute kubwa sana...! Ya komakoma nina story yake nitasimulia siku moja
[emoji12]🤔[emoji23][emoji23]Mwenyekiti wahudumu Hawa slow sana Inabdi ukiagiza zije mbili mbili [emoji23] [emoji23]
Ova
View attachment 879568
AnimaBado siku ukienda hutajua.... Tutajua sisi
Hahahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ya huko ilikuwa nzuri... Nilifika alone nikaondoka na mtu wa mtu baada ya jamaa kuzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀 😀 😀 😀Hahahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi nlikutana na kisa kimoja nlienda kwa bar moja ndani ndani uswazi kuna bar moja iko mwananyamala kisiwani ilikuwa saa saba usiku niko geji mbaya kuna Majamaa walikuwa na dem wakaniona brazamen
Kwenda chooni kuna dem mhuni alinifata anataka kuni kabali nkamtuliza nliporudi kaunta ye na wenzake wakaniona nmekaa na mhuni mmja wa hko mitaa yao anaitwa kibesi basi wakaona Dah [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Ben pub ukiwa bwax mabaunsa nao shida😀 😀 😀 😀
Ben pub ya zamani sana nishachaga kwendaJina geni lakini
Naona nahitaji ku update database yangu aisee au sijui ni uzee? Unaikumbuka Neema bar Morocco? Haipo tena... Pazi kwa matapeli bado inapumuaBen pub ya zamani sana nishachaga kwenda
Watoto wahuni wa msisiri wnajaaga hpafai
Ova
Dah ile naijua mbele ya tausi barNaona nahitaji ku update database yangu aisee au sijui ni uzee? Unaikumbuka Neema bar Morocco? Haipo tena... Pazi kwa matapeli bado inapumua
Nlitoka safari dizonga kna jamaa yangu akaniita pale nkasogea basi tungi tungiDah long time aisee... Hebu nipe flash back kidogo ya hicho kisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]safi sanaNlitoka safari dizonga kna jamaa yangu akaniita pale nkasogea basi tungi tungi
Tulikunywa bia za 50000/ hvi tukaletewa bill 130000 ahhh tu kasema haiwezekani mtu mbili tutumie hela hyo wao Sasa walijua tuko tungi kmbe tkk makini
Yule kaunta nanii mshnz sana kwenye ku bish na akaitwa manager yule tu kamwambia atupe break down maana sisi tulimpa yetu akaja mhudumu mmja akatutetea saa yule manager akampiga mhudumu [emoji23] [emoji23] [emoji23] nkaona nachelewa tukamtandika manager naye chni Mara tumekaaa defenda hyo tukapelekwa obay
Poa syo kesi kesho yke kalinga enzi hzo akatutoa pLe obay
Lkn nlimrudiamanager baada mwzi hvi
Ova
Haaaaaa mkuu ulizidishi divai!!2015 Baada ya Kumaliza Kidato cha Sita, tokeo lilipotoka nilifurahi sana, nikasema ngoja leo nipige vitu.. Nilipiga Maji kinoma, kiroba, safari, k-vat, konyagi zote nilichanganya.. Bahati mbaya saana ilinyesha Bonge la Mvua.. walionibeba waliniambia walitembea kama hatua 100 hivi hawanioni.. kuja kunitafuta wanakuta Naelea juu ya Maji huko.. Pombe sio Chai..
Nna kisa kilinikuta masai bar Kino ntakuadisia Lile Tukio waliyovamiawaga mm nlikuwepoDah long time aisee... Hebu nipe flash back kidogo ya hicho kisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]