mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mweka hazina
Ova
Hivi hata tunaokunywa za kienyeji tunalipa Kodi? Maana Leo nipo maeneo ambayo inabidi nifanane na nilionao
Kienyeji labda chibuku na banana poa tuHivi hata tunaokunywa za kienyeji tunalipa Kodi? Maana Leo nipo maeneo ambayo inabidi nifanane na nilionao
Poa mkuu. Nipo parokia flan huku nakunywa pombe imetengenezwa na majani wanaita Rozelle Ni hatariKienyeji labda chibuku na banana poa tu
Ova
Ahahaaa hii Ni hatari mkuu, tatizo net inasoma edge nashindwa hata KU upload pichaHahahaha unapata pingu mkuu
Naipata hyo nlikunywaga mvumii missionPoa mkuu. Nipo parokia flan huku nakunywa pombe imetengenezwa na majani wanaita Rozelle Ni hatari
Sawa katibu leo hadi asubuhi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa katibu leo hadi asubuhi View attachment 919212
Mdudu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Jamani walipa kodi msisahau kula[emoji4]View attachment 919082
wazo zuri mnoHalafu ikiwezekana DDOs wa humu tukutane siku Moja Moja