Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji15][emoji15][emoji15]lakini roho imekufa na mwili hauna uhai tena... Ila viungo ni vizima... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... What a weird phenomenon
Hahaaha bro he is always not there he can't solve even this small thing.
 
Aisee kipindi hiyo temboni raha sana, hivi kwa mitaa hiyo si sehem ya kujidai badala ya 5N ni kwa Godi
 
Sogea kwa mtogole hapo
Mapema sana Kabla kwenda kwenye mishe
Kwa mangi nmekutana na kreti nje najisevia 2 za safari za moto alafu ndukiii

Ova
20181113_082736.jpg
 
Back
Top Bottom