Mada maalumu ya picha za watu maarufu waliowahi kuwepo na waliopo duniani

Mada maalumu ya picha za watu maarufu waliowahi kuwepo na waliopo duniani

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
11,050
Reaction score
31,412
Alikua Ni kiongozi moja wapo ya mataifa wa afrika ambea aliwahi kuwa na utajiri wa Mali na fedha kiasi ambacho mpaka Leo hii kwa mujibu wa historia hakuna ambae amemfikia .Jina Mansa karankan Musa, kiongozi wa taifa la Mali.
mansa-musa__FocusFillWzEyNDgsMTI0OCwieCIsMzYzXQ.jpg
 
Indira Gandhi mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi mkuu wa India.
Kiongozi wa kwanza wa India alikua Ni Mahatma Gandhi.
Huyu mama hakuwa mwane mzee Gandhi, Bali aliolewa na mtu Alie kuwa karibu Sana na Mahatma Gandhi, ambae hakuwa na nasaba na Mahatma Gandhi.
IndiraGandhi1983HultonGetty-56a042a63df78cafdaa0b882.jpg
 
Benazir Bhutto alikua kiongozi pekee mwanamke nchini Pakistan.

Ni mtoto wa aliekua kiongozi wa Pakistan miaka ya 77, aliepinduliwa na kuuwawa.

Binti yake huyo alifanikiwa kuwa waziri mkuu kwa vipindi 2 na kulipotokea sintofahamu alikwenda kuishi uhamishoni.

Alikuja kurejea nchini mwake kwa lengo la kuchaguliwa Tena kuwa kiongozi, ingawa wengi walimsihi asirudi kutokana na hatari iliokua inamkabili lakini hakutilia maanani hasaha hizo.

2007 aliuwa kwa kupigwa risasi 2 na bomu juu ! Kufa kwake kuliambatana na watu 30.

Ni moja ya mtu alienivutia Sana na kifo chake kiliniuma mno.

kuwa kiongozi mwanamke kwenye nchi zenye misimamo mikali ya kidini na ambayo mwanamke kwao kuwa kiongozi ni kosa, ni changamoto Sana.
31aedf71733b0785dc50b18735ff2c32.jpg
 
Shambel Abebe Bikila (August 7, 1932 – October 25, 1973) M'Ethiopia wa kwanza, Mwafrika mweusi wa kwanza, kushinda dhahabu kwenye mbio za Olympiki, mnamo mwaka 1960 kwenye summer Olympic zilizofanywa mji wa Roma. Alikimbia mbio hizo akiwa miguu chuma aka barefoot hadi kushinda kwake. Na bado alijishindia mbio zingine zilizofanyika miaka iliyofuata mfululizo.

NB;wakati tukiwa colonized na mzungu, Ethiopians walikuwa wanariadha, dadeq.. 😂 😂 😂 😂
IMG_20210523_202112.jpg

IMG_20210523_202129.jpg
 
Back
Top Bottom