Mada maalumu ya picha za watu maarufu waliowahi kuwepo na waliopo duniani

Mada maalumu ya picha za watu maarufu waliowahi kuwepo na waliopo duniani

Uzi bora kabisa.

Nasubiri picha Cleopatra ambaye inasemekana alikuwa the most woman ever.
Cleopatra, mwanamke alipata kuwa kiongozi nchini misri ya kale, alipata pia kulewa na wakuu kadhaa wa dola ya kirumi.
Hi ilitokea baada ya dola ya Rumi kutawala misri.
%20%20Cleopatra.jpg
 
Mama huyu anajulikana kwa jina la Monica.
Ni mama anaetambulika Kama mtakatifu katika kanisa la katoliki.

Historia inamtaja Kama mwanamke mwenye asili ya Africa, ambae alikua mkristo wa katoliki.

Aliolewa na bwana mwenye asili ya kirumi lakini huyu mumewe hakuwa mshika dini.

Monica anasifika Kama mama Alie mvumilivu aliweza kudumu kwenye maombi kumuombea mwanawe ambae alikuwa mtu asie na maadili kwa muda mrefu mno bila ya kukata tamaa mpaka kupelekea yule mwanae kubadilika na kuwa mwongofu mpaka kuwa Padre na askofu na hadi Leo hii ni mtakatifu ajulikanae Kama agustino.

Lipo pia shirika la kitawa la mtakatifu agustino lenye wafuasi wengi Sana wakifuata falsafa zake zilizo Bora.

Chanzo hakika Ni yule mama aliedumu katika maombi kumuombea mwanawe, hii iwe changamoto kwetu haswa wakina Mama.
%20.jpg
 
Bruce Lee! Ingawa amefariki muda kidogo lakini bado anatajwa Sana katika nyanja mbali mbali.
Ikiwa bado kufa kwake kuligubikwa na mengi lakini mengi yakujifunza yalikutanika kwake. View attachment 1796656
Mwanzilishi wa style ya Jeet Kune Do katika martial arts. It's a hybrid martial arts philosophy drawing from different combat disciplines that is often credited with paving the way for modern mixed martial arts (MMA).
 
John Steven Akhwari ni mtanzania aliyeshiriki michuano ya olympic mwaka 1968 nchini mexco na alimaliza akiwa wa mwisho kabisa muda wa saa moja jion..

Alipata majeraha na alikuwa akitokwa na damu lakn alikataa kupanda gari mpaka pale alipomaliza km zote
_90878025_tanzaniaathlete2.jpg
101_0424.JPG
 
Mfalme sulemani anajulikana kama baba wa hekima. Hapo akiwa na malkia wa sheba aliyejulikana kwa jina la makeda.

Malkia wa sheba au makeda alionana na baba wa hekima miaka3000 iliyopita.

Mfalme suleman alifahamika kuwa ni baba wa hekima hasa alipoamua kesi iliyopelekwa mbele yake ya wanawake wawili waliokuwa kila mmoja na mtoto wake wa kiume na walikuwa wanafanana sana.
43422382_401.jpg
 
Bruce Lee! Ingawa amefariki muda kidogo lakini bado anatajwa Sana katika nyanja mbali mbali.
Ikiwa bado kufa kwake kuligubikwa na mengi lakini mengi yakujifunza yalikutanika kwake. View attachment 1796656
Kuna siku huyu mtu alirudi kutoka kuzimu na kuja kumfanyia mtu training. Ilikuwa ni baada ya mtu aliyehitaji kufanyiwa traing, kwenda kwenye kaburi la Bruce Lee na kumuomba atoke huko kuzimu alikokuwa, aje duniani ili amfanyie training

 
Ellen Johnson Sirleaf. Rais mstaafu wa Liberia na mwanamke wa kwanza barani Africa kushikilia cheo hicho cha Rais kwa kupigiwa kura. She also won the Nobel Peace Prize in 2011, in recognition of her efforts to bring women into the peacekeeping process. She has received numerous other awards for her leadership.
Ashawahi pia kuwa mwanamke wa kwanza kushikilia wadhifa wa mwenyekiti wa ECOWAS(Economic Community of West African States) tangu muungano huo uanzishwe.
IMG_20210525_114219.jpg

Alikuwa Rais kuanzia 16 January 2006 – 22 January 2018.
 
Wangarĩ Muta Maathai, a Kenyan Environmentalist, is the first African woman to win the Nobel Peace Prize, also the first woman in East and Central Africa to become a Doctor of Philosophy from UoN.
View attachment 1795568
Huyu alikataa kuzikwa na jeneza ingawa alikuwa mkristo kwa madai kwamba kuchana Mbao kwaajili ya jeneza lake ni uharibifu wa mazingira kwasababu zinaenda kuozea chini
 
Huyu alikataa kuzikwa na jeneza ingawa alikuwa mkristo kwa madai kwamba kuchana Mbao kwaajili ya jeneza lake ni uharibifu wa mazingira kwasababu zinaenda kuozea chini
Hakuzikwa na kitu chochote kilichotengezwa kwa mbao.
 
Siasa za nchi ya Pakistan zimepita mapito mengi karibu kila zama.
Huyu hapa Ni Rais wa zamani wa Pakistan Parvez Musharaff, aliekua mkuu wa majeshi.
Alipata kushika madaraka ya Urais kwa kumpindua Waziri mkuu wa wakati huo Nawaz Shariff.
Musharaff alihukumiwa kifungo Cha maisha jela kwa kosa la kuvunja katiba kwa kutaka kusalia madarakani.
51703802_503.jpg
 
Back
Top Bottom