Mada maalumu ya picha za watu maarufu waliowahi kuwepo na waliopo duniani

Mada maalumu ya picha za watu maarufu waliowahi kuwepo na waliopo duniani

Benazir Bhutto alikua kiongozi pekee mwanamke nchini Pakistan.

Ni mtoto wa aliekua kiongozi wa Pakistan miaka ya 77, aliepinduliwa na kuuwawa.

Binti yake huyo alifanikiwa kuwa waziri mkuu kwa vipindi 2 na kulipotokea sintofahamu alikwenda kuishi uhamishoni.

Alikua kurejea nchini mwake kwa lengo la kuchaguliwa Tena kuwa kiongozi, ingawa wengi walimsihi asirudi kutokana na hatari iliokua inamkabili lakini hakutilia maanani hasaha hizo.

2007 aliuwa kwa kupigwa risasi 2 na bomu juu ! Kufa kwake kuliambatana na watu 30.

Ni moja ya mtu alienivutia Sana na kifo chake kiliniuma mno.

kuwa kiongozi mwanamke kwenye nchi zenye misimamo mikali ya kidini na ambayo mwanamke kwao hapaswa kuongoza ni kosa ni changamoto Sana. View attachment 1795487
Dah! Huyu mama nilikuwa namkubali sana..
 
Oscar Leonard Carl Pistorius. South African former professional sprinter.
At the 2011 World Championships in Athletics, Pistorius was the first amputee to win a non-disabled world track medal.
At the 2012 Summer Olympic Games, Pistorius was the first double-leg amputee participant.
IMG_20210523_210127.jpg
 
Madam C.J. Walker (born Sarah Breedlove; December 23, 1867 – May 25, 1919). Kulingana na Guinness Book of World Records, yeye ndiye mwanamke wa kwanza Amerika, na pia mweusi, kuwa self-made Millionaire kupitia kampuni yake ya bidhaa za kujipodoa za wanawake, iitwayo "Madam C. J. Walker Manufacturing Company."
IMG_20210523_215538.jpg

IMG_20210523_215558.jpg

NB; aliolewa mara tatu...
 
View attachment 1795679

Moja ya watu weusi ambao wali waprove wazungu wrong kua watu weusi ni vilaza
Makaveli in this... Killuminati, all through your body
The blow's like a twelve gauge shotty
Uh, feel me!
And God said he should send his one begotten son
To lead the wild into the ways of the man
Follow me; eat my flesh, flesh and my flesh
 
Back
Top Bottom