Mada maalumu ya picha za watu maarufu waliowahi kuwepo na waliopo duniani

Indira Gandhi mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi mkuu wa India.
Kiongozi wa kwanza wa India alikua Ni Mahatma Gandhi.
Huyu mama hakuwa mwane mzee Gandhi, Bali aliolewa na mtu Alie kuwa karibu Sana na Mahatma Gandhi, ambae hakuwa na nasaba na Mahatma Gandhi.
 
Benazir Bhutto alikua kiongozi pekee mwanamke nchini Pakistan.

Ni mtoto wa aliekua kiongozi wa Pakistan miaka ya 77, aliepinduliwa na kuuwawa.

Binti yake huyo alifanikiwa kuwa waziri mkuu kwa vipindi 2 na kulipotokea sintofahamu alikwenda kuishi uhamishoni.

Alikuja kurejea nchini mwake kwa lengo la kuchaguliwa Tena kuwa kiongozi, ingawa wengi walimsihi asirudi kutokana na hatari iliokua inamkabili lakini hakutilia maanani hasaha hizo.

2007 aliuwa kwa kupigwa risasi 2 na bomu juu ! Kufa kwake kuliambatana na watu 30.

Ni moja ya mtu alienivutia Sana na kifo chake kiliniuma mno.

kuwa kiongozi mwanamke kwenye nchi zenye misimamo mikali ya kidini na ambayo mwanamke kwao kuwa kiongozi ni kosa, ni changamoto Sana.
 
Shambel Abebe Bikila (August 7, 1932 – October 25, 1973) M'Ethiopia wa kwanza, Mwafrika mweusi wa kwanza, kushinda dhahabu kwenye mbio za Olympiki, mnamo mwaka 1960 kwenye summer Olympic zilizofanywa mji wa Roma. Alikimbia mbio hizo akiwa miguu chuma aka barefoot hadi kushinda kwake. Na bado alijishindia mbio zingine zilizofanyika miaka iliyofuata mfululizo.

NB;wakati tukiwa colonized na mzungu, Ethiopians walikuwa wanariadha, dadeq.. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…