Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
- Thread starter
- #121
Mzee Lawi Nangwanda Sijaona.Yuko wapi Gamel Abdel Nasser wa Misri, Tito?.Yule Mmisri Katibu Mkuu wa UN, Koffi Annan nae wa UN, Mtanzania aliyekua Katubu Mkuu wa OAU kabla ya kuitwa AU Dr Salim A Salum, Naibu Katibu Mkuu wa UN Dr. Rose Migiro, Mama Mongella, Bibi Titi, Brigedia Hashim Mbita, Bibi Tax, Abdul Aziz Rantisye, Yasser Arrafat, Kwame Nkurumah, Patrice Lumumba, Sheikh Mazinge, Dossa Aziz, Mengtsu Haile Mariam, Nelson Mandela, Edwardo Mondlane, Michael Gorbachel, Putin, Mao Zedong, Kenneth Kaunda, Notorius B.I .G, Mkwawa, Kinjikitile Ngwale, David Wakati, Nangwanda Sijaona, Abdul Ngalawa, Tiddo D Mhando, Mustafa Sabodo nk nk nk.
Mpigania uhuru, aliwahi kuwa pia diwani, aliwahi kua mbunge, aliwahi kuwa waziri, aliwahi kuwa mkuu was mikoa kadhaa.
Kutoka kusini mwa nchi yetu mkoa wa lindi, Ni vile tu historia yetu huko shuleni ni ya kuungwa ungwa tu, labda Kama lile agizo la aliekua rais magufuli la uanzishwaji wa somo la historia ya Tanzania litazingatiwa watu Kama Hawa wataweza kujulikana.
Sent using Jamii Forums mobile app