Mada maalumu ya picha za watu maarufu waliowahi kuwepo na waliopo duniani

Mzee Lawi Nangwanda Sijaona.

Mpigania uhuru, aliwahi kuwa pia diwani, aliwahi kua mbunge, aliwahi kuwa waziri, aliwahi kuwa mkuu was mikoa kadhaa.

Kutoka kusini mwa nchi yetu mkoa wa lindi, Ni vile tu historia yetu huko shuleni ni ya kuungwa ungwa tu, labda Kama lile agizo la aliekua rais magufuli la uanzishwaji wa somo la historia ya Tanzania litazingatiwa watu Kama Hawa wataweza kujulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
William Shakespeare ni Mwingereza aliyekuwa mwandishi wa michezo ya kuigiza (playwright), mshairi (poet) , na mwigizaji.

Shakespeare anachukuliwa kuwa ndiye mwandishi wa kazi za sanaa nguli kuliko wote kuwahi kutokea katika lugha ya Kiingereza na duniani kwa ujumla.

Kati ya kazi zake maarufu kwa zaidi ya miaka 400 iliyopita ni Romeo and Juliet, Hamlet na Macbeth.
 

Michelangelo di Lodovico Buonarroti Simoni ajulikanae kirahisi Michelangelo, alikuwa Muitaliano mtaalamu wa kuchonga sanamu, mchoraji wa picha, mbunifu wa majengo na mshairi.

Ndie binadamu wa kwanza kuwa na kitabu kinachohusu historia ya maisha yake alichokiandika mwenyewe (autobiography).

Anachukuliwa kuwa ni mmojawapo wa watu wenye mchango mkubwa katika sanaa ya uchoraji, ubunifu majengo na uchongaji wa sanamu duniani.

Baadhi ya kazi zake.


Michelangelo, The Last Judgment, Sistine Chapel, Vatican City, 1536-1541


Michelangelo, David, Galleria dell’Accademia, Florence, 1501-1504


Michelangelo, Bacchus, Museo Nazionale del Bargello, Florence, 1496-1497
Michelangelo, The Torment of Saint Anthony


St. Peter's Basillica. Hapa ndio makao makuu ya kanisa Katoliki.


Laurentian Library.
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Merchant of Venice
 
Baharia alikuwa na wake 700 na makonkyubaini 300. Yaani mpaka alimzidi babake (Mfalme Daudi) ubaharia [emoji16][emoji16]
Hapo lazma ma Ben10 walimgongea sana!... 😂 😂 😂 😂 Ata useme utakwala kila mmoja siku yake hao wote 1000, ni miaka 1k hio ambayo haiwezekani so kuchapiwa alichapiwa. That's a fact sio lazma ukuwe discovered! 🤣 🤣 🤣
 
Asante Sana mkuu nilikua naanda maelezo kumuhusu huyu ndugu lakini Niko na furaha umemuelezea kinagaubada pongezi Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Eliud Kipchoge EGH (born 5 November 1984) is a Kenyan long-distance runner who competes in the marathon and formerly competed at the 5000 metre distance. He has been described as "the greatest marathoner of the modern era".
He has a record of "fastest marathon distance (male)" and "first marathon distance under two hours" on the Guinness Book of World Records. (The INEOS 1:59 Challenge in Vienna, Austria, on 12 October 2019).

Note that, this recognition does not equate to a marathon competition record coz it was specifically created for him.
 
Kuna yule Genius wa dunia aliyechora the Perfect Circle pekee na kuwazidi Geniuses wengine wote anaitwa Giotto

Waitaliano / Warumi ni hatari aisee yaani walizidiwa na Waisraeli na Wagiriki TU.
 
Baharia alikuwa na wake 700 na makonkyubaini 300. Yaani mpaka alimzidi babake (Mfalme Daudi) ubaharia [emoji16][emoji16]
Na hapo ninawasiwasi kwa huyo malkia wa sheba lazma alikula kimasihara maana kwa huyo jamaa asingemuacha hivi hivi malkia huyo
 
Auguste Frederic Bartholdi, huyu ni Mfaransa ambaye ndiye aliyebuni na kujenga sanamu maarufu duniani inayofahamika kama ''STATUE OF LIBERTY'' hii ipo New York Marekani ikiwa ni zawadi ya Ufaransa kwa marekani kwaajili ya kujenga ''Mahusiano mema'' ya nchi hizo mbili.

Mnara huu wenye sanamu ulijengwa 28/10/1886, una urefu wa mita 93 Sawa na futi 305 kutoka ardhini mpaka kwenye tochi iliyoshikwa kwa mkono wa kuume.

Mwanzoni ''Statue of Liberty'' ilikuwa na rangi ya brown yaani rangi halisi ya Shaba iliyoitengeneza lakini walikuja kubadilisha na kupaka ya kijani kwasasa.

Imeshshifadhiwa kwa kuimarishwa mara 3 mpaka sasa.

 
Na hapo ninawasiwasi kwa huyo malkia wa sheba lazma alikula kimasihara maana kwa huyo jamaa asingemuacha hivi hivi malkia huyo
Malkia wa Sheba si ndio Bibi yake Emperor Haile Sellasie?
 
Hatar saana hiki kiumbe..
 
George Stinney 1929-1944 aliehukumiwa akiwa na miaka 14 tu kwa kosa la kuwauwa wasichana wa kizungu wawili Betty (11) na Mary Emma 7 huko South Carolina USA

Kesi ya kijana huyo mweusi iliamuliwa na kuhusishwa na mauwaji kwa dakika 10 tu na kuamua auwawe kwa kiti cha umeme
Ni kijana mdogo kuwahi kuhukumiwa kifo
Alilazimishwa kukubali kuwa kauwa wakati sio yeye muuwaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…