Mada maalumu ya picha za watu maarufu waliowahi kuwepo na waliopo duniani

Alie wahi kuwa mkuu wa mkoa wa dar es laam na tabora marehemu Ukiwaona Ramadhani ditopile mzuzuri.
ditopiler.jpg
 
Unapozungumzia umoja wa Africa hawa wazee hawataachwa kutajika.

Wazo lilianza kwa rais wa gana kwame nkrumah la kuunganisha. Watu wote wenye asili ya Africa popote walipo, pan-africanism.

Wazo liliungwa mkono kwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya viongozi wa Africa wakati huo akiwemo julias kambarage nyerere.

Nyerere alikuja na wazo kwamba ili umoja wa waafrica wote uwezekane ilitakiwa kwanza ziundwe jumuiya za kikanda ili Kuwezekana tamaduni zizoeleke, lugha zizoeleke nk.

Umoja huo uliundwa nchini Ethiopia, hii Ni kwa sababu Ethiopia ndio nchi pekee Africa ilioweza kuushinda ukoloni. View attachment 1802463
RIP Wazalendo wa Afrika
 
Mike Tyson Iron .. Mwanamasumbwi wa uzito wa juu, aliyetwaa ubigwa wa dunia akiwa na umri wa miaka 20 tu akiwa kijana mdogo kabisa record ambayo haijavunjwa mpaka sasa . akimtandika kwa knockout bigwa uzito wa juu wa dunia kwa wakati huo aitwaye Trevor berbick.

Vilevile ni bondia aliyeshinda mapambano mengi kwa Knockout..
Alipigana mapambano 58 huku akishinda mapambo 50 na kati ya hayo hamsini 44 akishinda kwa knockout.. Huku akipoteza sita dhidi ya Deoglas bastler, Evender mara mbili, Lennox lewis, Williams na McBride..

Huku mapambano mawili hayakuwa ya ubingwa..

Pambano ambalo lilikuwa la moto zaidi ni kati ya tyson na Dovann Ruddock ( razor Ruddock) hili pambano lilikuwa piga nikupige..
800px-Mike_Tyson_2019_by_Glenn_Francis.jpg
FB_IMG_1622475873183.jpg
 
View attachment 1803827View attachment 1803828
Kuna pambano fulani Kama sijakosea alimpiga mtu ndani ya sekunde 33, nimesahau kidogo alikua ni Nani aliepigana nae ila huyo jamaa aliepigana nae alijitapa Sana kwamba atampa Tyson bahati mbaya ndani ya sekunde 30 akakata Moto.

Ila mapambano yalio kua ya kukata na shoka Tyson na evender! Enzi hizo miaka ile huyu jamaa aliishika mno tasnia ya masumbwi.
 
Bila kusahau mike na evander pambano la kwanza nalo lilikuwa moto balaaa
 
Kuna pambano fulani Kama sijakosea alimpiga mtu ndani ya sekunde 33, nimesahau kidogo alikua ni Nani aliepigana nae ila huyo jamaa aliepigana nae alijitapa Sana kwamba atampa Tyson bahati mbaya ndani ya sekunde 30 akakata Moto.

Ila mapambano yalio kua ya kukata na shoka Tyson na evender! Enzi hizo miaka ile huyu jamaa aliishika mno tasnia ya masumbwi.
Huyu mwamba alipigana mapambano kadhaa kwa muda mfupi sana.

1. Marvis Frazier vs Tyson hili lilichukua sekunde 30.

2. Robert Colay vs Tyson lilichukua sek 37

3. Ricardo spain vs Tyson lilichukua sek 39

4. Michael Johnson vs Tyson sek 39

5. Clifford Etienne sek 49.

6. Michael Young vs Tyson 50 sek

7. Trent Singleton vs Tyson 52 sek

8. Sterling Benjamin vs Tyson 54sek

9. Lorenzo Canady vs Tyson dk 1 na sek 5

10. Eddie Richardson vs Tyson Dk 1 na sek 17.

Haya ni mapambano ya muda mfupi aliyopigana na kushinda..
 
Jamaa huyu aliwahi kumpiga risasi mwendesha bajaji kisa amekwangua gari lake,huyo jamaa alikuwa Bwana harusi mtarajiwa,akafa hivi hivi.
Hapana, alikua ni dereva wa Daladala pale njia panda ya Kawe, ukiwa unatokea Mbezi Beach(ukivuka daraja la watembea kwa miguu). Inasemekana alimtwanga risasi dereva wa daladala baada ya kupisha kauli(inavyosemekana ni kua dereva wa daladala alimchomekea mh kwa ghafla, mh anamuuliza akatumia ishara ya lugha ya kuudhi ya matusi, mzee akapandwa na jazba akampa mbili za ukweli na dereva kukata moto pale pale)! Kadri ya maelezo ya watu wengi wakati ule.
 
Uzi bora kabisa.

Nasubiri picha Cleopatra ambaye inasemekana alikuwa the most woman ever.
The most woman ever?!

Huo ni mjadala mpya, tena mjadala mkubwa sana! Bila shaka unamaanisha 'most beautiful' kama ambavyo mdau mmoja alivyosahihisha awali.

Kuna kamsemo kanasema: "beauty is in the eye of the beholder". Maana yake ni kwamba, uzuri wa kitu huwa haupo kivyake ama kipeke yake bali unatengenezwa na macho ama jicho la mtazamaji.

Wote tunaweza tukatazama kitu ama mtu fulani kwa pamoja lakini kila mmoja wetu akawa na fikra tofauti kuhusiana na 'uzuri' wa kitu hicho ama mtu huyo.
 
Hapana, alikua ni dereva wa Daladala pale njia panda ya Kawe, ukiwa unatokea Mbezi Beach(ukivuka daraja la watembea kwa miguu). Inasemekana alimtwanga risasi dereva wa daladala baada ya kupisha kauli(inavyosemekana ni kua dereva wa daladala alimchomekea mh kwa ghafla, mh anamuuliza akatumia ishara ya lugha ya kuudhi ya matusi, mzee akapandwa na jazba akampa mbili za ukweli na dereva kukata moto pale pale)! Kadri ya maelezo ya watu wengi wakati ule.
Asante kwa kunisahihisha Mkuu, sema Nilikuwa nakumbuka lkn sio ktk usahihi wake.
 
D.B.Cooper - jamaa ambae aliweza kuiteka ndege ya Boeing mnamo mwaka 1971 na kisha kuomba apewe dollar laki 2, akidai ako na suitcase bomb(alikuwa nayo kweli). Alipewa na baada ya hapo alifanikiwa kuruka kutoka ndani ya ndege kwa kutumia parachuti pasipo kujulikana ni wapi alienda na alikuwa ni nani hasa na isijulikane yupo wapi mpaka leo hii. Aliyemuoa kwa mara ya mwisho kabla hajaruka, alikuwa mhudumu mmoja wa kike ndani ya ndege. Na mhudumu mwingine pia, ambaye tayari alikuwa ameshukishwa na abiria wengine kabla ya hiyo ndege kupaa tena kwa mara ya pili angani.

"A 1972 FBI composite drawing of Cooper(Picha iliyochorwa kupitia maelezo ya waliokuwepo ndani ya ndege hiyo)"
IMG_20210609_223632.jpg

"Northwest Orient Airlines Flight 305(ndege aliyoiteka nyara)"
Northwest_Airlines_Boeing_727-51_N467US.jpg

NB;Aliporuka, alitoka pamoja na lile bomu lake, pesa alizopewa na Parachute extra moja, sababu aliagiza nne lkn aliondoka na mbili tu.
 
D.B.Cooper - jamaa ambae aliweza kuiteka ndege ya Boeing mnamo mwaka 1971 na kisha kuomba apewe dollar laki 2, akidai ako na suitcase bomb(alikuwa nayo kweli). Alipewa na baada ya hapo alifanikiwa kuruka kutoka ndani ya ndege kwa kutumia parachuti pasipo kujulikana ni wapi alienda na alikuwa ni nani hasa na isijulikane yupo wapi mpaka leo hii. Aliyemuoa kwa mara ya mwisho kabla hajaruka, alikuwa mhudumu mmoja wa kike ndani ya ndege. Na mhudumu mwingine pia, ambaye tayari alikuwa ameshukishwa na abiria wengine kabla ya hiyo ndege kupaa tena kwa mara ya pili angani.

"A 1972 FBI composite drawing of Cooper(Picha iliyochorwa kupitia maelezo ya waliokuwepo ndani ya ndege hiyo)"
View attachment 1813599
"Northwest Orient Airlines Flight 305(ndege aliyoiteka nyara)"
View attachment 1813600
NB;Aliporuka, alitoka pamoja na lile bomu lake, pesa alizopewa na Parachute extra moja, sababu aliagiza nne lkn aliondoka na mbili.
Mwanaume.
 
Carl Friedrich Benz mvumbuzi wa magari ya marcedes benz. Gari yake ya kwanza ilitoka mwaka 1885 ambapo mke wake Cäcilie Bertha Ringer aliitumie kusafiria kwa umbali wa 106 km ili kuaminisha watu kuwa huo usafiri ni bora zaid kuliko farasi
download.jpeg
 
Back
Top Bottom