Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

Walevi sio waongo ni watu waaminifu sana
...ww peleleza utaniambia
 
Wacha uchokazi rudi kule kwetu kwenye mawazo mtambuka, huku utaishia kucheka kama sio kuchekwa.
Nimesona komenti naona shida watakua hawajui kutafuta, wanafikiri kutumia kidongo ndio kuongeza hazina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale wanaotumia wine tu.

Karibuni jamani, tupeane kampani hapa.
Msisahau na mapambio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…