titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Pwani ya kenya wanaiita kahawa Tungu.aisee kahawa ina raha yake bwana,hasa kwa wajuvi wakuiandaa.Kahawa inaingia humu? Ile black double strong
Sent from my SM-G925I using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pwani ya kenya wanaiita kahawa Tungu.aisee kahawa ina raha yake bwana,hasa kwa wajuvi wakuiandaa.Kahawa inaingia humu? Ile black double strong
Mlevi huyo hana lolote,kusali wanasali mpaka wachawi na wauza unga sembuse mnywa pombe.Hivi Wine sio Pombe?
Nakumbuka shoga yangu tena ni muislamu sala tano, wakati niko huko Tanzania (Dar) alikuwa anapenda kuambatana na sisi tunapojilipua kwenda kwenye vinywaji. Cha ajabu akawa anakunywa SAVANNAH. Kila tukimwambia hiyo ni pombe tena ina kilevi kikubwa alikuwa anakataa.
Miss you Shufaa
Sie tuligundua kuwa hajui kuwa hiyo ni pombe, na tulipomwambia hakutaka kutuamini. Alikuwa anakunywa Savannah hata 4Mlevi huyo hana lolote,kusali wanasali mpaka wachawi na wauza unga sembuse mnywa pombe.
Sent from my SM-G925I using JamiiForums mobile app
How come mtu asiye mnywaji anywe savannah yenye alcohol volume 6 au 5 kama skosei na asiskie chochote?,tena nne?Sie tuligundua kuwa hajui kuwa hiyo ni pombe, na tulipomwambia hakutaka kutuamini. Alikuwa anakunywa Savannah hata 4
Tena alikuwa hayumbi wala nini.How come mtu asiye mnywaji anywe savannah yenye alcohol volume 6 au 5 kama skosei na asiskie chochote?,tena nne?
Sent from my SM-G925I using JamiiForums mobile app
Ndo maaana nkasema huyo ni mnywaji,alikuwa anawaektia tu,ex wangu alikuwa akinywa savana mbili tu anachamgamka balaa,na show inadamshi hatariTena alikuwa hayumbi wala nini.
Hapana ur not wrong dear!Hapana si lazima viwanja viandane na pombe ila asilimia ndogo sana, kama siyo 2.99 basi ni 3 tu
Ni comment yako ya kwenye thread ya magari ilifanya nihisi hivyo kuwa ni mtu wa kutoka sana.......but sorry if I'm wrong mkuu
Mmmmh....Shufaa ni cha pombe huyoo tena mzoefu sema alikuwa anawazuga!Sie tuligundua kuwa hajui kuwa hiyo ni pombe, na tulipomwambia hakutaka kutuamini. Alikuwa anakunywa Savannah hata 4
Komba huyoTena alikuwa hayumbi wala nini.
Laini yaweza kuwa ni kweli. hahahahahahhahah.Mmmmh....Shufaa ni cha pombe huyoo tena mzoefu sema alikuwa anawazuga!
Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale wanaotumia wine tu.
Karibuni jamani, tupeane kampani hapa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwahiyo lile bata la weekend flani uliloenda kuosha na ile Kruger mpya lilikuwa la ibada kumbe...Hapana ur not wrong dear!
Mkuu umenichekesha sana kwahiyo ukiwa mtu wa magari basi utakuwa mtu wa batazz sana!
Kama nazurura kwa akina mwakasege na gwajima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126]
Ndio mkuu wangu....nilivyomaliza kuwapa hi mashost na yule jamaa anayeniosheaga na mindinga yake....nikateleza kwa GWAJIMA ( maombi mpaka usiku mnene[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126] )[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwahiyo lile bata la weekend flani uliloenda kuosha na ile Kruger mpya lilikuwa la ibada kumbe...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe huwa unakuja kwa Gwajima, nitakutafuta siku ukija nami nioshe nyota kwenye mndinga wakoNdio mkuu wangu....nilivyomaliza kuwapa hi mashost na yule jamaa anayeniosheaga na mindinga yake....nikateleza kwa GWAJIMA ( maombi mpaka usiku mnene[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126] )
Mhhhhh hiyo kunywa mwenyewe mkuuJuisi ya tende[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Ayaaaaa....kaka.......hii ktu tam sanaaaaaaMhhhhh hiyo kunywa mwenyewe mkuu
Kuoana tena.....Uzi wetu huu.. inabidi tuoane humu humu ili tutengeneze familia ya vinywaji laini..
Kuoana tena.....